Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,774
- 47,866
Leo nakuunga mkono ajuza. Umeongea maneno ya maana sana japo huwa sikukubaliKuna watoto baba zao wanashinda kwenye vilabu vya pombe, unategemea nini?
Unapanda mbigili unatarajia kuvuna mpunga?
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Kumbe nje ya Mada za Dini una uwezo wa kutoa point kiasi hiki😂. Ingekua mada ya dini ungeshatoa boko