Basi Nenda JF-Expert Member Joined Jul 29, 2017 Posts 20,774 Reaction score 47,866 Jul 28, 2024 #21 FaizaFoxy said: Kuna watoto baba zao wanashinda kwenye vilabu vya pombe, unategemea nini? Unapanda mbigili unatarajia kuvuna mpunga? Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga? Click to expand... Leo nakuunga mkono ajuza. Umeongea maneno ya maana sana japo huwa sikukubali Kumbe nje ya Mada za Dini una uwezo wa kutoa point kiasi hiki😂. Ingekua mada ya dini ungeshatoa boko
FaizaFoxy said: Kuna watoto baba zao wanashinda kwenye vilabu vya pombe, unategemea nini? Unapanda mbigili unatarajia kuvuna mpunga? Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga? Click to expand... Leo nakuunga mkono ajuza. Umeongea maneno ya maana sana japo huwa sikukubali Kumbe nje ya Mada za Dini una uwezo wa kutoa point kiasi hiki😂. Ingekua mada ya dini ungeshatoa boko
Shadow7 JF-Expert Member Joined Sep 28, 2020 Posts 24,606 Reaction score 39,289 Jul 28, 2024 #22 Hatari sana