Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Tuna maeneo makubwa sana
Wenzetu hawana hali ya hewa nzuri ndio maana wakiona mimea au wanyama au hata wadudu wanatoweka huwa wanawachukua na kuwaweka zoo na kuwalinda humu huku wakizaliana halafu wanahamisha baadhi na kuwapeleka zoo zingine
Sisi kama kweli tunawajali tuitumie ardhi vizuri, eneo lizungushwe na kuwaweka baadhi ya wanyama
Ila kuhusu uwindaji ni sheria na pia wanapunguza idadi zinazoongezeka kila mwaka
Watalii kuuwa Simba wanalipa hela ndefu sana
Hizo zingetumika baadhi kwa kuwalinda baadhi kama watatoweka kwenye uso wa Dunia