Inasikitisha wazungu wakulima wa amerika wawauwa simba wa bara la afrika ukisikiliza video utasikia ni simba wa Tanzania

Inasikitisha wazungu wakulima wa amerika wawauwa simba wa bara la afrika ukisikiliza video utasikia ni simba wa Tanzania

Tuna maeneo makubwa sana
Wenzetu hawana hali ya hewa nzuri ndio maana wakiona mimea au wanyama au hata wadudu wanatoweka huwa wanawachukua na kuwaweka zoo na kuwalinda humu huku wakizaliana halafu wanahamisha baadhi na kuwapeleka zoo zingine

Sisi kama kweli tunawajali tuitumie ardhi vizuri, eneo lizungushwe na kuwaweka baadhi ya wanyama
Ila kuhusu uwindaji ni sheria na pia wanapunguza idadi zinazoongezeka kila mwaka
Watalii kuuwa Simba wanalipa hela ndefu sana
Hizo zingetumika baadhi kwa kuwalinda baadhi kama watatoweka kwenye uso wa Dunia
 
Amazing: How Do American Hunters And Farmers Deal With Million Of Wild Boar And Lion By Guns.​

Baada ya Miaka 20 Tanzania kutakuwa hakuna Simba.Watalii Wakija sijuwi watakuja kuona kitu gani? hatari sana.

View:

MODS FUNGA UZI HUU. NI UWONGO hapa siyo Tanzania.

Ni clip ya mwaka 2016 na imechukuliwa South Africa nako wametengeneza story tu. Ilikuwa uploaded na Jayden Turner kwenye YouTube.
Screenshot_20240814_080849_Firefox.jpg

Angalia hapa pia
Screenshot_20240814_080630_Firefox.jpg

Herbalist Dr MziziMkavu ametudanganya, ila kumbuka siyo Watanzania wote ni wajinga.

Full story iko hapa https://www.express.co.uk/news/natu...-Shocking-video-shows-big-cat-getting-revenge
 
Saa 9 HII Wewe kunja Goti umuombe MUNGU Muda huu wanasema mbingu zinakua zimefunguka ukiomba chochote Muda huu unatapa,

Ps: Muda huu ndio Muda ambao hata Wezi wakiiba huku wanamuomba Mungu hawakamatwi Muda huu walinzi wamelala wamechoka kukaa Macho
Babu upo!??
Ulipotelea wapi aiseee!?
 
Kwa nini wauwe simba tena kwa kujifurahisha tu kisa pesa au kuenjoy kuua???Kama ni pesa si tutafute vyanzo vingine vya mapato?Simba wenyewe wachache hawa...
Wawache nature ichukue mkondo wake...na nature imekuwa ikifanya hivyo for hundreds of years.Binafamu tu waharibifu sana
Simba na tembo ni wengi sana mbaka wengine huvamia makazi na mashamba kwaiyo kuwapunguza kidogo sio kosa
 
Mkuu, Nina experience na uwindaji….
Mkuu usichofahamu ni Kuwa kila mwaka huwa kunatoka permit za kuwinda wanyama kadhaa. Na permit hiyo huwa inazingatia Idadi husika ya wanyama hao kwa mujibu wa sensa ya pori husika.
Wawindaji wote huwa wanatakiwa kuingia porini wakiwa wamefuatana na game rangers na baada ya mawindo huriport kwa office ambapo office hukagua kuona kuwa only wanyama waliopo kwenye kibali ndio waliowindwa

Kwa Maneno hayo, ondoa Shaka mkuu wanyama hawataisha maana mamlaka zetu zinasimamia taratibu za uwindaji endelevu
Kuna hao wa vibali, naamini kwa jamii yetu hawakosekani wa rushwa(magendo)
 
Mkuu, Nina experience na uwindaji….
Mkuu usichofahamu ni Kuwa kila mwaka huwa kunatoka permit za kuwinda wanyama kadhaa. Na permit hiyo huwa inazingatia Idadi husika ya wanyama hao kwa mujibu wa sensa ya pori husika.
Wawindaji wote huwa wanatakiwa kuingia porini wakiwa wamefuatana na game rangers na baada ya mawindo huriport kwa office ambapo office hukagua kuona kuwa only wanyama waliopo kwenye kibali ndio waliowindwa

Kwa Maneno hayo, ondoa Shaka mkuu wanyama hawataisha maana mamlaka zetu zinasimamia taratibu za uwindaji endelevu
Kwani wakiwaacha waendelee na maisha yao huko mwituni wanapata hasara gani, mimi naona kama ni uchokozi vile ati
 
Mkuu, Simba Hana natural predator huko mwituni….wakiachwa tu itaanza kuwa tabu kwa wanyama wengine plus binadamu.
Hutakuwa na swala au nyumbu nk iwapo simba hawata-contro-liwa. Pia binadamu naye hatabaki salama.

Kwa waliozaliwa nyuma kidogo nadhani wanakumbuka nyakati zile RTD kila kwenye kipindi cha majira ilikuwa haikosekani habari ya Simba kula watu huko Mkuranga na Kibiti.

For hundreds of years pia ujue simba natural predator wake amekuwa ni binadamu.
Miaka ya 1800 mbona simba walikuwepo na hakukuwa na uwindaji rasmi
 
Walikuwa wanawindwa tu mkuu Sema hakukuwa na kumbukumbu zilizoachwa rasmi! But ukiangalia michoro ya misri ya kale na huko Syria ya kale utaona kumbukumbu za mambo hayo zilikuwepo.

Pia mkuu idadi ya watu inavozidi kukua inafanya kuwe na conflict na wanyama pori hivo basi lazima eco system ibalance .

Kuhusu hatari ya kupotea kwa Simba hapa nchini kwetu hatuna hatari hiyo kutokana na juhudi endelevu za uhifadhi. Kwa kifupi Tanzania ndio nchi yenye Simba wengi zaidi duniani.
 
Lions (Simba) are sadly threatened by extinction according to various reports.
Simba ni miongoni mwa wanyawa waliopo katika hatari ya kutoweka by 2050. Kuwaweka wanyama kama simba kwenye utaratibu wa kuwindwa kama kipusa kwa lengo la kupata pesa zama hizi ni upuuzi wa kiwango cha lami cha nchi hii.
Ukitaka kujua ncho hii ina Simba wengi sana Nenda Ruaha National Park.
 
Mkuu, Nina experience na uwindaji….
Mkuu usichofahamu ni Kuwa kila mwaka huwa kunatoka permit za kuwinda wanyama kadhaa. Na permit hiyo huwa inazingatia Idadi husika ya wanyama hao kwa mujibu wa sensa ya pori husika.
Wawindaji wote huwa wanatakiwa kuingia porini wakiwa wamefuatana na game rangers na baada ya mawindo huriport kwa office ambapo office hukagua kuona kuwa only wanyama waliopo kwenye kibali ndio waliowindwa

Kwa Maneno hayo, ondoa Shaka mkuu wanyama hawataisha maana mamlaka zetu zinasimamia taratibu za uwindaji endelevu
Siwezi kukuamini kabisa kwa aina ya viongozi tulio nao na kwa tabia zetu za ubinafsi na uroho wa pesa bila kusahau umasikini uliotukuka kama watu hawana huruma na binadamu wenzao itakua simba?
 
Mshaanza mambo yenu sasa hili swala mbona linajulikana na vibali vipo hata ww ukitaka unapata .

Back
Top Bottom