Ingekuwa ni hivyo watu wangekuwa hawatoi taarifaKimaadili mleta mada unatakiwa uwekwe chini ya ulinzi huku uchunguzi ukifanyika, umeleta tangazo la biashara ya ngono maana kwa sasa mtu yeyote aliekuwapo eneo hilo hata kama alikuwa hajui tayali umemfanya ajue ,kitu kingine umefanya watu watamani kufika hapo wale machangu ambao soko limeshuka huko walipokuwapo na wanaume wanaopenda kukua makahaba kwa hiyo unatakiwa uwekwe kikaangoni wa wanazengo
Sent from my itel S11 using JamiiForums mobile app