nzagambadume
JF-Expert Member
- Apr 9, 2018
- 2,430
- 5,787
Nimezipata habari hizi kwa rafiki yangu Mhindi anayeishi kwenye flats za NHC jirani na hapo sokoni Mwanza kwenye stand ya magari Bwiru
Inasikitisha sana ni kama Sodoma na Gomorah tena kuna hadi ka binti cha miaka 9 kanajiuza unakuta average ya wanaojiuza ni miaka 12 wakubwa ni 18
Anasema walijaribu kufatilia Polisi lakini hali hutulia kwa siku moja au mbili kisha biashara kama kawaida, biashara hufanyika kwenye frames zile zinazouza simu ni kama Mini mall cha kizamani huko ndani usiku ni gesti house
Asubuhi jamaa wakifungua hata wakikuta condoms hawajali kabisa
Tena sasa hivi kuvunjwa ka soko na vibanda lukuki kuhamia pale imekuwa jehanamu rasmi ni aibu sana. Tulijaribu kumuhoji mlinzi mmoja ambaye huwa wanamuita babu yeye sidhani hata kama anao muda wa kulinda, yupo bize na kupokea wateja wa machangudoa huku akiuza bando,banana hadi gongo kwenye ka meza aalichokaficha kwa ndani akijifanya anauza sigara
Alichotuambia babu kwamba inakuwa rahisi kwao kufanya hivyo sababu WENYE MADUKA HAYO WANATIMIZA MASHARTI YA NDAGU hivyo tusishangae kuona vitoto hadi vya miaka 9 na mashoga wakijitanua hapo bila wasiwasi