Inasikitisha: Wenye frame Mwanza wadaiwa kufadhili Uchangudoa kwa Watoto wadogo

Kimaadili mleta mada unatakiwa uwekwe chini ya ulinzi huku uchunguzi ukifanyika, umeleta tangazo la biashara ya ngono maana kwa sasa mtu yeyote aliekuwapo eneo hilo hata kama alikuwa hajui tayali umemfanya ajue ,kitu kingine umefanya watu watamani kufika hapo wale machangu ambao soko limeshuka huko walipokuwapo na wanaume wanaopenda kukua makahaba kwa hiyo unatakiwa uwekwe kikaangoni wa wanazengo

Sent from my itel S11 using JamiiForums mobile app
 
Ingekuwa ni hivyo watu wangekuwa hawatoi taarifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…