BrownRange
JF-Expert Member
- Dec 25, 2020
- 927
- 1,191
Habari wakuu.
Kuna jamaa yangu amekaa sana nje, shughuli aliyokuwa anafanya huko nje ni ya clearing and forwarding, Ila kutokana na huu ugonjwa shughuli zimepoa sana. Anategemea kurudi nchini hivi karibuni, na kuendelea na clearing and forwarding. Anatafuta kampuni ya kununua isiyokuwa na madeni Wala kashfa yeyote yenye leseni ya clearing and forwarding.
Amenipa hii kazi nimtafutie, Kama unauza nipm, na bei yake.
Asanteni