BrownRange
JF-Expert Member
- Dec 25, 2020
- 927
- 1,191
Aseme angalau budget yake. Na vipi kama kampuni utahitaji mbia(partner) tu na siyo kuuza?Wakuu Kama unamfahamu mtu mwenye kampuni yenye sifa hizi na anauza naomba unipm.
Na budget tena akuambie... Dalaliizzz,Kampuni zipo kibao, tena seriously kama anataka niambie. na bajeti
Hahaaaaaa. Nadhani huyo diaspora anaweza kuwa serious Ila aliyepewa jukumu (mleta Uzi) Hana knowledge ya namna ya kununua kampuni.Nipo kwenye Industry mwaka wa nane, hapa hakuna mnunuzi kaka
Nipe kazi ya kutafutia hiyo kampuni. Only if you need it.Wakuu bado sijapata