hata mkilingana umri poa tu cha msingi mwanamke asikuzidi umri, ila kama umesha fall kwa aliekuzidi umri we jiachie tu sikuhizi kinacho matter ni mapenzi ya kweli
hahahh well said...tena mi nataka awe kibabu kabsa!kawaida na kimila na kidesturi,
mwanaume anatakiwa kuwa mkubwa kwa mwanamke angalau miaka miwili hata 10!
wanawake naturally huzeeka mapema kuliko wanaume, lakini huchelewa kufa--! amazing!
niwe na mke niliyemzidi 12yrs?...mbona tofauti kubwa hivyo??Japo mapenzi popote,inapendeza sanaa mwanaume akiwa mkubwa walau 3-12 years difference,,
kama mwanamke ana 29 mwanaume 24 hapo inawezekana ndoa kweli jaman?
kama mwanamke ana 29 mwanaume 24 hapo inawezekana ndoa kweli jaman?
ladyfurahia kwani tumezidiana miaka mingapi vileee? teeeeh
ladyfurahia kwani tumezidiana miaka mingapi vileee? teeeeh
kwani wee una miaka mingapi vile nikumbushe?