Inatakiwa mzidiane miaka mingapi kuona?

Inatakiwa mzidiane miaka mingapi kuona?

hata mkilingana umri poa tu cha msingi mwanamke asikuzidi umri, ila kama umesha fall kwa aliekuzidi umri we jiachie tu sikuhizi kinacho matter ni mapenzi ya kweli

yap!! hapo umeongea ndugu
 
kawaida na kimila na kidesturi,

mwanaume anatakiwa kuwa mkubwa kwa mwanamke angalau miaka miwili hata 10!

wanawake naturally huzeeka mapema kuliko wanaume, lakini huchelewa kufa--! amazing!
hahahh well said...tena mi nataka awe kibabu kabsa!
 
Mapenzi haya chagui lakini nibora mwaume hawemkubwa kwa mwanamke kuliko mwanaume kuwa mdogo hatoweza kui control familia Sana Sana hatakuwa anaperekeshwa
 
Japo mapenzi popote,inapendeza sanaa mwanaume akiwa mkubwa walau 3-12 years difference,,
 
Kikawaida mwanaume amzidi miaka kuanzia 5 kwasababu unajua mmojawapo akimzidi mwenzie umri hata akili inakuwa angalau imemature ko hata mambo ambayo mwanamke akifanya mwanaume huyachukulia kwani anakuwa anaelewa jinsi ya kuhandle lakini mkiwa sawa mnaweza mkawa mnapnikiana kila siku
 
ladyfurahia kwani tumezidiana miaka mingapi vileee? teeeeh
 
Last edited by a moderator:
unajua practically mwanamke kwenye ndoa ana jukumu kubwa la kuzaa ambalo humchosha sana mwili kwahiyo ili hasionekane kumzidi mwanaume inashauriwa awe mdogo zaidi kwa mwanaume..........at least 5 years
 
natafuta mwanaume alienizd kuanzia miaka 10 aliye tayar ajilete bas! I'm twelve years nmemaliza darasa la 7 mwaka jana!
 
Back
Top Bottom