Inatakiwa mzidiane miaka mingapi kuona?

Inatakiwa mzidiane miaka mingapi kuona?

AON

Senior Member
Joined
Sep 22, 2013
Posts
106
Reaction score
18
Kama ilivyo destur ya jamii nyingi duniani ktk kuoana mwanaume kiumri inatakiwa amzidi mwanamke lkn hii sheria mm binafsi cjui imeandikwa katiba ipi wala kitabu gani ila wengi wao wanazingatia sana hii sheria wakati wa kuoana sasa mm naomba mnijuze ndugu zangu kwamba inatakiwa tuzidiane miaka mingapi au mwanaume inafaa aweanamzidi mwanamke miaka mingapi?
 
Kiasilia mwanaume anatamani amdhibiti mwanamke katika nyanja zote na hapendi kuzidiwa, Hivyo wanaume wengi hawajiamini wanapooa wanawake waliowazidi umri na hata kipato. Wanataka wanawake wanaowazidi umri ili waweze kuwadhibiti.
Ndoa ambazo mwanamke amemzidi mwanaume zinahitaji mwanamke awe na busara sana na kujishusha kila mara ili ndoa idumu.
 
hata mkilingana umri poa tu cha msingi mwanamke asikuzidi umri, ila kama umesha fall kwa aliekuzidi umri we jiachie tu sikuhizi kinacho matter ni mapenzi ya kweli
 
kawaida na kimila na kidesturi,

mwanaume anatakiwa kuwa mkubwa kwa mwanamke angalau miaka miwili hata 10!

wanawake naturally huzeeka mapema kuliko wanaume, lakini huchelewa kufa--! amazing!

Mkuu hiyo ya mwanaume awe na miaka10 zaidi kwa mwanamke mi naona iliwezwa na wazazi wetu zama sio zama hizi nw nidham ktk ndoa imepotea jaman kuoa mabint wa umri mdogo jiandae kutafuniwa huko mbeleni sio hivo tu wanawake wa umri mdogo kwa mwanaume ni stress utoto mwingi inahitaji kazi ya ziada kumuelimisha mi naona ni vyema ukaoa bint atleast mpishane miaka miwili ama mmoja akili zenu hapo zinakuwa zimepevuka kwa uwiano unakaribiana
 
images

(Beyonce 4-sept-1981 na Jay Z 4-dec-1969)

attachment.php

(Mariah 27-march-1970 na Nick 8-oct-1980)

mengi.jpg

(R. Mengi na K Lynn: Hapo sijui umri labda mtu anisaidie)

Sasa chagua mwenyewe kati ya hizo.... Ila mi najua what matter is love.
 

Attachments

  • nickkkk.jpeg
    nickkkk.jpeg
    8.3 KB · Views: 1,689
kawaida na kimila na kidesturi,

mwanaume anatakiwa kuwa mkubwa kwa mwanamke angalau miaka miwili hata 10!

wanawake naturally huzeeka mapema kuliko wanaume, lakini huchelewa kufa--! amazing!
Wa zaman ndo walikuwa wanazeeka haraka...
 
Hii mambo bwana haina formula..! Kama wewe huoni shida kuwa na mwanamke aliyekuzidi umri poa tuu..!

Ila kwangu mie hilo ni marufuku... Mwanaume shurti anizidi kuanzia miaka 3 mpaka 7..!

Kuwa na mwanaume niliyemzidi umri naona kama niko na katoto flani hivi.. Lol
 
Kutakiwa na nani ?
Ni nani huyo au sheria ipi inayopangia watu kupendana / kufunga ndoa
Nijuavyo mimi ndoa ni ya kidini au kiserikali au desturi iliyojipangia jamii husika (mizimu n.k.) na katika hizo community zote sidhani kama umri ni kigezo
 
ilaijue mwanamke akikuzidi umri sio mbaya....
 
Ni vizuri mwanaume akamzidi mwanamke ila isiwe sana, muwe na umri tofauti lakini rika moja, mkiwa na umri tofauti sana mtatofautiana interest harafu mnakuwa na life experience tofauti kitu kinachoweza kuleta migogoro, mfano mwanaume miaka 40 mwanamke miaka 23, mwanaume mambo ya 23 yrs anakuwa ashayaacha muda mrefu, anakuwa na interest tofauti anawaza kujenga, maendeleo, wakati binti wa miaka 23 anawaza shopping, kuchart fb, bbm, n.k so anajikuta anamiss sana kushare mambo fulani fulanitna wanaume wa rika lake, sasa hapo ndipo kuchapiwa kunapoanza, ni ngumu sana kuwakuta wanandoa waliopishana sana kiumri wakicheza beach kimahaba mahaba kwani mwanaume anakuwa hana interest na mambo yale, yeye ni kuzaa, kulea na kutafuta hela, hakuna cha baby baby, honey..Pia idadi ya miaka ya kuzidiana inategemea umri wa mwanamme kwa wakati huo, either kawahi kuoa au kachelewa, mfano kijana anayeoa akiwa na miaka 20, mara nyingi anaoa mwanamke wa umri wake kabisa kama sio kumzidi miaka 2 au 1, lakini mtu wa miaka 50 ni ngumu kuona kaoa mwanamke wa miaka 45 hadi 50, ataoa kuanzia 30 hadi 40.
 
Hii mambo bwana haina formula..! Kama wewe huoni shida kuwa na mwanamke aliyekuzidi umri poa tuu..!

Ila kwangu mie hilo ni marufuku... Mwanaume shurti anizidi kuanzia miaka 3 mpaka 7..!

Kuwa na mwanaume niliyemzidi umri naona kama niko na katoto flani hivi.. Lol

Hahaha! Acha nicheke mimi so mimi nina 29yrs now unanishauri nioe mwanamke wa miaka mingapi
 
Back
Top Bottom