Inatisha: Tatizo la kulala na kushindwa kuamka japokuwa macho yamefumbua na akili ipo sawa sawa!!

Inatisha: Tatizo la kulala na kushindwa kuamka japokuwa macho yamefumbua na akili ipo sawa sawa!!

Aisee acha kabisa hizi mambo, Kuna kipindi nilikuwa na practice meditation sasa mida ya saa 10 alfajiri nikaa kama lisaa limoja nikarudi kulala ikiwa nimejilaza bado nipo macho huku nimejilaza chari, hio hali ikanitokea nikajiamrisha kiroho niuache mwili kweli ikawa hivyo huku nikijiamlisha kwa tahadhari nikatoka kiroho kama mita tatu nikageuka nikaona mwili wangu umelala aisee niliogopa lakini nilijikaza nikaurudi faster maana hofu yangu ilikua nikienda mbali wife akiushtua mwili inakuwaje? Maana sipendi astra projection nilitaka niingie sixth sense.
 
sleeping paralysis.... binadamu tumeumba kwa njia ya ajabu sana kuna vitu unaweza kuvikosea majibu ukadhani vinakupata peke yako kumbe vinapata wengi ila "hamna kipya chini ya jua" asee
 
MM INANITOKEA MARA NYINGI ILA IKINITOKEA NAKUA SIWEZI KUFANYA CHOCHOTE YAANI NAHISI NATAKA KUKIMBIA ILA NIMEGANDA PALE KITANDANI, NAHISI NATAKA KUPIGA KELELE ILA HAITOKI MPAKA SIKU NYENGINE INAFIKIA WAKATI NIKISHTUKA NAJIKUTA MACHOZI MENGI SANA KWENYE MACHO YANGU, yaani unakua unakua mwili hauna nguvu ya kufanya chochote alaf sometimes unakua unahisi kama unataka kufumbua macho ili ushtuke ila inakua ngumu kufumbua macho
 
Kwa kipindi kirefu sana tangu nipo shule ya secondary nilishawahi kukumbwa na tatizo kama hili maranyingi sana najua na wewe unaesoma huu Uzi nadhani umeshawahi kupatwa na tatizo kama hili yaani unapo amka asubuhi ama usiku unashindwa kabisa Kunyanyuka na sio kwamba ni ndoto Bali unaji elewa kabisa na unaona kila shughuli zinavyo fanyika kwa wakati huo
Huu sio ugonjwa Bali ni hali inayo itwa kitaalamu "sleeping paralysis "
Hii hali ikikupata maranyingi utapata hofu kubwa sana na utahisi kama jinamizi hivi litakutokea baada ya mfupi lakini sio mambo ya kichawi wala kiroho

Hii hali husababishwa na nini?
Ina sababishwa na unapo lala katika style ya kimgongomgongo gani kulalia mgongo wako na USO wako kutazama juu wakati ume lala ni hatari sana hii kitu.
Ndio maana tuna shauriwa tulalie ubavu wetu Wa kulia.(kama waislamu wanavyo lala)

Pia omba kwa mungu ili akuondolee tatizo hili hatari
Asanteni wakuu
Contradictions kibao!!..
 
Kukabwa ndio Habari nyingine ... Noma hiyoo.. Unakula ROBA YA MBAO mpak unajihisi Kuachia ushuz
 
Aisee, poleni sana.
Sijawahi kusikia hili ila inaogofya hii hali.
 
Subiri tu, utajua kwanini anaitwa.
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
anataka kukimbia dozii
 
Back
Top Bottom