Kmc, simba, azam, ruvu shooting, African Lion zote ni za dar ulitaka zikacheze Na yanga tarime?Swali halijibiwi kwa swali mkuu uliona wspi timu ikacheza nymbn mfulilizo mechi.11 km co kuisaidia yanga
Sent using Jamii Forums mobile app
Hao wadar je ninani katiyao aliocheza mfulilizo dar japo mechi 7 tu km co wewe ombaomba na lia liaKmc, simba, azam, ruvu shooting, African Lion zote ni za dar ulitaka zikacheze Na yanga tarime?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hao wadar je ninani katiyao aliocheza mfulilizo dar japo mechi 7 tu km co wewe ombaomba na lia lia
Sent using Jamii Forums mobile app
Yanga kacheza lini na azamKmc, simba, azam, ruvu shooting, African Lion zote ni za dar ulitaka zikacheze Na yanga tarime?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa mujibu rage kuendele kubishana na wewe ni matumizi mabaya ya akili.Hao wadar je ninani katiyao aliocheza mfulilizo dar japo mechi 7 tu km co wewe ombaomba na lia lia
Sent using Jamii Forums mobile app
Uko sahihi mkuu hiyo ni ratiba swali ni je uliwai iona ligi gan dunian ikapagwa hivyo na je mlipangiwa mcheze nymbn mbona hamkulalamika sasa kocha wenu heshi kulalamika mpk namungo pia anaiogopa
Ninachomaanisha mimi ni kuwa ratiba haijakaa vizuri halafu kinachokera haya mambo ni kila mwaka
Uko sahihi mkuu.twende kwenye point tuwache mahabaKwa mujibu rage kuendele kubishana na wewe ni matumizi mabaya ya akili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuipangia timu icheze mechi 11 nyumbani sio upendeleo bali kwa upande mwingine ni kuiangamiza kwasababu ukishuka kwa mteremko mkali jua ya kwamba ukirudi utakutana na mlima mkali.Uko sahihi mkuu hiyo ni ratiba swali ni je uliwai iona ligi gan dunian ikapagwa hivyo na je mlipangiwa mcheze nymbn mbona hamkulalamika sasa kocha wenu heshi kulalamika mpk namungo pia anaiogopa
Sent using Jamii Forums mobile app
Wamemuweka Alshabab ili wafanye yao. Kila kitu ni vurugu kama Somalia.Timu inaanza kucheza mechi round ya pili, mechi za round ya kwanza haijamaliza, Msomali ni janga kwenye soka letu
Sent using Jamii Forums mobile app
KabisaYule alshabab kaja kutuharibïa ligi kabisa. Tena hakuna hata anaeongelea ilo suala