Inatokea Tanzania tu

Inatokea Tanzania tu

ki bongolala sio ajabu, lakini ina madhara makubwa sana katika mustakabali wa soka letu. tatizo tunatanguza ushabiki wa simba na yanga. tuna miaka mingi sana ya kufikia mafanikio ya soka kama nchi za wenzetu
 
Likitugusa tunalalamika, ila likitupa favor tunalitetea.

Mleta mada anasema Haji angelalamika sana kama ingekuwa Yanga ndiyo wenye viporo.

Kwa hiyo nilitegemea D10 alalamike kwa sababu Simba ana viporo, ila kwa vile halalamiki ina maana anaona ni sahihi.

Msimu huu wakati ligi unaanza Yanga kacheza 11 straight games Dar, was that right? Jibu ni hapana.

Tunachotakiwa ni kuhakikisha tunalilia haki sawa na sheria sawa bila kujali kwamba zinatubeba au la, maana kuna leo na kesho. Swala la viporo siyo geni, hata Yanga huwa anakuwa navyo. Tupambane kulifuta kwa pamoja.
 
simba raundi ya kwanza hajamaliza anacheza raundi ya pili . soka la tanzania kweli pasua kichwa
 
Uko sahihi mkuu hiyo ni ratiba swali ni je uliwai iona ligi gan dunian ikapagwa hivyo na je mlipangiwa mcheze nymbn mbona hamkulalamika sasa kocha wenu heshi kulalamika mpk namungo pia anaiogopa

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuipangia timu icheze mechi 11 nyumbani sio upendeleo bali kwa upande mwingine ni kuiangamiza kwasababu ukishuka kwa mteremko mkali jua ya kwamba ukirudi utakutana na mlima mkali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom