Inatosha sasa hata kama hawatoshi muonavyo nyie kwa kumuakilisha mjomba

GOTILANGU

Senior Member
Joined
Aug 23, 2013
Posts
182
Reaction score
46
Tanzania ukiwa na principle moja na subsidiary inatosha kuwa MWALIMU na ukifundishwa, psychology,measurement,foundation of education,Curriculum na methodology inatosha kutengeneza Taifa la kesho kiukweli ni uongo mtupu jamani inatosha sasa,huko vyuoni Walimu wenyewe proffessional hakuna huku jamii ikijua kuwa eti Walimu wanafundishwa content huo ni uongo wa mchana jamani inatosha sasa tutenganishe siasa na TAALUMA.Eti alieshindwa kufaulu ndio anaeweza kuzalisha A na B kwa kufundishwa methodology jamani inatosha sasa.Huku jamani kuna walimu hawawezi kufundisha kile walichokisomea kwa miaka miwili jamani hawewezi tembelea kwetu utajua ukweli kabisa.Hawa wanaosomea degree jamani jamani tufanyeje na hii taaluma nyeti na wapi twaenda ni aibu sana.
Naomba nitoe majibu na dawa ya haya kwa sasa serikali inapaswa kufanya hivi Walimu wote kabla hawajasoma degree wasomee diploma kwanza miaka mitatu kwa miaka miwili kusomea masomo yale watakaoenda kufundisha kuanzia form one mpaka four au five mpaka six kama deep review na mwisho wafanye mtihani kama wafanyavyo form four na six watakao faulu wawe walimu na mwaka mmoja unatosha kwa methodology.Wakusomea tutawapata tu maana hawana kwa kwenda kwanza hawakufanya vizuri au hawana pesa kusomea watakacho na watakaoenda chuo wasomee bure na wala wasikopeshwe na wasomee deeply masomo yale wataoenda kufundisha na mitihani sahihi.
Ukweli ni kuwa Ualimu ni option baada ya mengine kushindikana na ndio maana hata ukienda darasa la form six uliza wangapi wanataka kuwa walimu baada ya masomo yao majibu utayapata uwazi kuwa walimu tulifeli au tulikosa pesa ya kusomea kile tutakacho na hawa ndio wachache na utumia ualimu kama daraja tu na ukweli hawa ndio walimu wazuri maana walifaulu ila walikosa pesa na wanajua wakifundishacho lile kundi la kwanza jamani duuu E na S kweli unakuwa TEACHER.
KUSIWE NA FORM SIX KUSOMEA UALIMU MPAKA UPITIE DIPLOMA na hata hii big result sasa ingeleta maana
tuache matatizo yaliyopo kwa sector hii ila hakuna walimu wazuri wakutosha na kama ushauri huu ungekuwa chanya basi hata mwalimu atakapoenda kufundisha atafundisha kitu chanya
 
ngoja nikuulizee! Huyo huyo mwenye E S S ya PCB au CBG anaenda kusoma clinical officer then baadae anapangiwa kaz kule vijijini, vp hawa wamefaulu? Au unaonea walimu tuu, kemea basi na watu kama hao ambao pia wapo sekta muhimu ya afyaa! By the way me co mwalimu just nimetoa ushauri wangu tuuu kutokana na maelezo yako hapo juu
 
Huo ni ukweli usiopingika,

Ngoja leo ni watete Walimu!! Kwa mfano; hv mtu wa cbg/pcb aliyepata E,S,S akaenda kusoma diploma in clinical officer! Pia akatokea mtu mwingine wa pcb/cbg aliyepata E,S,S akaenda kusoma diploma ya education! Kwa pamoja hawa wote c tunawaita wamefeli form six, lakin mbona wa clinical officer asemwi bt mwalimu ndo anasemwa sanaa kwamba amefeli?Naomba Niwasilishee, toa maoni yako we unaonajeee
 
Last edited by a moderator:

Usingefunzwa na mwl. usingeapply chuo hata kama mwl. mwenyewe alifeli.usipende kukosoa,ongezea palipo pungua we ni Great Thinker.
 
cyo hivyo tu ndugu kuna watu wana sifuri matokeo yao ya form four bt still ni manesi
 
Usingefunzwa na mwl. usingeapply chuo hata kama mwl. mwenyewe alifeli.usipende kukosoa,ongezea palipo pungua we ni Great Thinker.

haahaahaahaa kazi ya mwl Molembe hiyoo mdada! Me nilikuwa naponda walimu balaaa but now nimeelewa baada ya kupewa darasa humu humu jf!!
 
Last edited by a moderator:
Swala lenu litafanyiwa kazi...kwa udokezi kidogo tu! hilo swala ni moja kati ya mikakati tulionayo kwa miaka 700 ijayo. kwa watakao bahatika kufika wataona lengo la serikali ya tanzania na mustakabali wa elimu...akhsanteni
 
Clinical officer anatoka kwa mwl.
Mwl.anabaki kuwa kioo cha jamii hata mwl.akitembea pamoja na huyo C
o wakajisaidia haja ndogo barabaran wakunyooshewa kidole tayari ushamjua
 
haya bana hatuwezi kukulaumu huo ndo uwezo wako wa kufikiria ili uchangie maada husika ulipoishiaa! By the way ahsante kwa mawazo yako, karibu tenaa
 
Mbona watu walifundisha na walimu wa UPE na wakafaulu vizuri, suala la wanafunzi kufaulu ni la mwanafunzi mwenyewe mwalimu ni mwelekezaji tu hata ukipeleka waliofaulu kama mwanafunzi hawako tayari kujifunza watafeli tu.
 
Clinical officer anatoka kwa mwl.
Mwl.anabaki kuwa kioo cha jamii hata mwl.akitembea pamoja na huyo C
o wakajisaidia haja ndogo barabaran wakunyooshewa kidole tayari ushamjua

so mdada ww unalionaje hili sualaa!!
 
haahaahaahaa kazi ya mwl Molembe hiyoo mdada! Me nilikuwa naponda walimu balaaa but now nimeelewa baada ya kupewa darasa humu humu jf!!

Mwl.hafeli mtihani kwani yeye ndo anaeuandika
 
Last edited by a moderator:
Mbona watu walifundisha na walimu wa UPE na wakafaulu vizuri, suala la wanafunzi kufaulu ni la mwanafunzi mwenyewe mwalimu ni mwelekezaji tu hata ukipeleka waliofaulu kama mwanafunzi hawako tayari kujifunza watafeli tu.

mkuu Molembe naomba nigongee "Like" comment yangu hapoo juuu
 
Last edited by a moderator:
Nadhani ukipata division1 we unakiwa uende ualimu moja kwa moja bila kukunja goti

achaa kunitegaa bana! Ujue ualimu ni witoo hata kama nikipata dv 4 kama ctaki ualimu ctak mbona course zipo kibao za kusoma diploma i.e kilimo, mifugo, afyaa!! So jiulizee mdada una wito wa ualimu tatizo co vigezoo
 
Last edited by a moderator:
Mwalimu anatoa 25% na 75% mwanafunzi anajitafutia mwenyewe kumbuka mtu akimaliza form 6 anaenda dip miaka 2 anarudi kufundisha form 1~4 hivyo uwezo wa kumudu madarasa hayo anaweza hata kama hakufanya vizuri form 6 anyway mleta mada wazo lako ni zuri.
 
Nnachomaanisha ni kwamba ifike kipindi serikali iamue kuchagua moja kwa moja baadhi ya waliopata div1 kusoma baed hajalishi awe na wito au la.
naamini wote wanaosoma ualimu hawana wito ndo maana cku hizi @ wanadai TEACHING IS A PRO.
 
ww vp lakin chuon unaenda kusomea nn vile?
 
Mwalimu anatoa 25% na 75% mwanafunzi anajitafutia mwenyewe kumbuka mtu akimaliza form 6 anaenda dip miaka 2 anarudi kufundisha form 1~4 hivyo uwezo wa kumudu madarasa hayo anaweza hata kama hakufanya vizuri form 6 anyway mleta mada wazo lako ni zuri.

Huyo mwanafunzi anayejitafutia mwenyewe ni wa wapi? shule za kata hazina hata maktaba.Think big
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…