Tanzania ukiwa na principle moja na subsidiary inatosha kuwa MWALIMU na ukifundishwa, psychology,measurement,foundation of education,Curriculum na methodology inatosha kutengeneza Taifa la kesho kiukweli ni uongo mtupu jamani inatosha sasa,huko vyuoni Walimu wenyewe proffessional hakuna huku jamii ikijua kuwa eti Walimu wanafundishwa content huo ni uongo wa mchana jamani inatosha sasa tutenganishe siasa na TAALUMA.Eti alieshindwa kufaulu ndio anaeweza kuzalisha A na B kwa kufundishwa methodology jamani inatosha sasa.Huku jamani kuna walimu hawawezi kufundisha kile walichokisomea kwa miaka miwili jamani hawewezi tembelea kwetu utajua ukweli kabisa.Hawa wanaosomea degree jamani jamani tufanyeje na hii taaluma nyeti na wapi twaenda ni aibu sana.
Naomba nitoe majibu na dawa ya haya kwa sasa serikali inapaswa kufanya hivi Walimu wote kabla hawajasoma degree wasomee diploma kwanza miaka mitatu kwa miaka miwili kusomea masomo yale watakaoenda kufundisha kuanzia form one mpaka four au five mpaka six kama deep review na mwisho wafanye mtihani kama wafanyavyo form four na six watakao faulu wawe walimu na mwaka mmoja unatosha kwa methodology.Wakusomea tutawapata tu maana hawana kwa kwenda kwanza hawakufanya vizuri au hawana pesa kusomea watakacho na watakaoenda chuo wasomee bure na wala wasikopeshwe na wasomee deeply masomo yale wataoenda kufundisha na mitihani sahihi.
Ukweli ni kuwa Ualimu ni option baada ya mengine kushindikana na ndio maana hata ukienda darasa la form six uliza wangapi wanataka kuwa walimu baada ya masomo yao majibu utayapata uwazi kuwa walimu tulifeli au tulikosa pesa ya kusomea kile tutakacho na hawa ndio wachache na utumia ualimu kama daraja tu na ukweli hawa ndio walimu wazuri maana walifaulu ila walikosa pesa na wanajua wakifundishacho lile kundi la kwanza jamani duuu E na S kweli unakuwa TEACHER.
KUSIWE NA FORM SIX KUSOMEA UALIMU MPAKA UPITIE DIPLOMA na hata hii big result sasa ingeleta maana
tuache matatizo yaliyopo kwa sector hii ila hakuna walimu wazuri wakutosha na kama ushauri huu ungekuwa chanya basi hata mwalimu atakapoenda kufundisha atafundisha kitu chanya