Inatumika nguvu kubwa sana kuishusha Simba

zilitumika hizo nguvu kuiweka yanga chini kwa miaka minne mkanenepeana,MMEKOSA SHUKRANI madunduka
 
Dawa ya uchambuzi uchwara ni kushinda mechi na kuingia nusu fainali. Mpira upo uwanjani, redioni na mtaani ni matokeo ya kinachofanyika uwanjani.

KILA LA HERI SIMBA.
Ni kweli ila inatia hasira, mtu ana potosha kana kwamba mpira ameangalia peke yake,..
 
Ni heri aoneshe ushabiki wa timu moja ila sio chuki ya kutaka kuishusha timu moja na kuipandisha nyingine.
 
Yanga awamfumgi mazembetu uwa Wana mtandika Simba mpaka anashika Adabu.
Ushindi wako hauzidi goli 1-0 ila mnyama ana kupasuaga Hamsa plus
 
zilitumika hizo nguvu kuiweka yanga chini kwa miaka minne mkanenepeana,MMEKOSA SHUKRANI madunduka
Hakuna nguvu iliyowahi kutumika kuiweka Yanga chini, mlikua viyande dhahiri, ila kwa sasa ni upumbavu kusema aliyopo kombe la mbuzi ni bora kuliko aliyepo klabu bingwa.
 
Hakuna nguvu iliyowahi kutumika kuiweka Yanga chini, mlikua viyande dhahiri, ila kwa sasa ni upumbavu kusema aliyopo kombe la mbuzi ni bora kuliko aliyepo klabu bingwa.
umetoka nje ya mada
 
Diara - 30+
Djuma shabani -35+
Lomalisa -35+
Mwamnyeto - 30+
Bangala -30+
Aucho -40
Sureboy -34+
Morrison -34+
Kisinda -32+
Mayele -30+
Mauya -35+
Farid -28+
Musonda -29+
Moloko -30+
Azizi ki -28+
Mudathir -33+

Ndugu wachambuzi, hivi swala la umri ni kwa simba tu ama ?
 
Malalamiko yameanza tena! Sijui ni homa tu ya tarehe 16 ya Mwezi huu wa 4!! Maana siku zinakimbia kweli kweli.

Au ndiyo ameanza kutafutwa mchawi? Ili siku hiyo baada ya timu fulani kushushiwa kipigo cha mbwa mwizi, ionekane ni hiyo project fake ndiyo imesababisha!!
 
Kwamba aliyepo Cafcl kwa sasa sio bora ila anaye shiriki kombe la mbuzi ndiye bora ?
Mashabiki wa simba huwa mnapenda kulalamikia vitu vidogo mpaka basi. Yaani mnalazimisha watu wengine waseme vile mnavyotaka nyinyi!!
 
Mashabiki wa simba huwa mnapenda kulalamikia vitu vidogo mpaka basi. Yaani mnalazimisha watu wengine waseme vile mnavyotaka nyinyi!!
Kama hawawezi ku-recognize yanayo fanywa na simba ni bora wakakaa tu kimya sio kulazimisha Simba ionekane mbovu na Yanga kuwa bora hali ya kuwa uhalisia haupo hivyo
 
Mpira dk 90 mkuu, utarudi hapa
 
Kama hawawezi ku-recognize yanayo fanywa na simba ni bora wakakaa tu kimya sio kulazimisha Simba ionekane mbovu na Yanga kuwa bora hali ya kuwa uhalisia haupo hivyo
Kwani shida iko wapi wakisema Yanga ni bora kuliko simba, halafu ukweli ukawa simba ni bora zaidi kuliko Yanga?

Acha kuutesa moyo wako kwa mambo madogo madogo.
 
Kwani shida iko wapi wakisema Yanga ni bora kuliko simba, halafu ukweli ukawa simba ni bora zaidi kuliko Yanga?

Acha kuutesa moyo wako kwa mambo madogo madogo.
Penye kuhitajika kuwekwa sawa ni lazima tufanye hivyo na ndio maana tuna bishana hapa daily
 
Yn hilo halizungumzwi kbs, simba ndo wazee kumbe hta yanga wazee wapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…