mangiTz
JF-Expert Member
- Jul 28, 2019
- 1,820
- 3,062
😂Haya banaSasa aliye na riziki nzuri nani hapa.Yani tufananishe jeans na pajama?wakati mwenye pajama aliipata pajama baada ya jeans kumchana mapajani.Hebu kueni makini.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂Haya banaSasa aliye na riziki nzuri nani hapa.Yani tufananishe jeans na pajama?wakati mwenye pajama aliipata pajama baada ya jeans kumchana mapajani.Hebu kueni makini.
Ha ha ha😂Haya bana
Nmecheka hiyo comment japo sina uhakika kama nimeelewa ulivyomaanishaHa ha ha
Kombe gani?we unaota bila shaka mwiko bado uko nyuma hukoDaaah Mnatia huruma sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Na bado ngoja tuchukue Kombe la Afrika ndio mtajua zama zenu zimepita mbwa nyie
Timu iko imara sana, imeenda DRC kwa Mazembe ikashinda bila Diarra, Djuma Shaaban, Kibwana, Aucho, Morrison, Fei Toto, Azziz Ki na kocha mkuu. Bado wapo jamaa wanashupaza shingo, ajabu kweli.Ndugu mbumbumbu jiulize maswali ya Msingi kabla huja sukumwa na hisia.
Jiulize msimu uliopita na msimu huu timu gani zilizokua zikitarajiwa kumpa changamoto Yanga na Matokeo yalikuaje?
Jiulize una misimu mingapi hujapata matokeo Kwa Yanga.
Jiweke Neutral angalia kikosi na bench laufundi la Yanga vinafanana na timu Yako?
Kama Yanga anabebwa na Marefa ndio Sababu ya kufanya vizuri, je! Kimataifa ambapo anafanya vizuri bado anabebwa na Marefa?
Kwa aina hii ya ushabiki nikopamoja na wadau wanao taka Lage ajengewe mnara [emoji3][emoji3]