Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
na huu ndio upumbavu uliopo huko ukoloni mmojawapo ndo huyu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu huoni aibu kuzungumzia kimataifa, ulikuwa cafcl sasa hivi upo kombe la mbuzi,, na una miaka karibia 30 huyajui makundi ya cafcl huo ubora wako uko wapi sasa ?Ndugu mbumbumbu jiulize maswali ya Msingi kabla huja sukumwa na hisia.
Jiulize msimu uliopita na msimu huu timu gani zilizokua zikitarajiwa kumpa changamoto Yanga na Matokeo yalikuaje?
Jiulize una misimu mingapi hujapata matokeo Kwa Yanga.
Jiweke Neutral angalia kikosi na bench laufundi la Yanga vinafanana na timu Yako?
Kama Yanga anabebwa na Marefa ndio Sababu ya kufanya vizuri, je! Kimataifa ambapo anafanya vizuri bado anabebwa na Marefa?
Kwa aina hii ya ushabiki nikopamoja na wadau wanao taka Lage ajengewe mnara [emoji3][emoji3]
Mkuu we acha tu, kila mtu pale utopoloni ni Afisa habari. Mbaya zaidi wana ropoka tu hakuna anaye ongea senseTimu ina wapiga debe watatu,kila mmoja anataka aonekane kafanya kazi aonekane kwa Boss,matokeo yake imekua kama kikundi cha mipasho !
Lini??Ukaja uka-comment kwenye pumba
Unabadirika [emoji777]Duuh mbona unajitesa namna hii bure!!??Haujui mpira wa miguu unabadirika??
Kuna aliyebisha Simba haikuwa Bora hiyo miaka minne ya nyuma?
Huioni Yanga Kwa Sasa ndio timu Bora hapa nchini Tanzania??
Kombe la Afrika[emoji777]Daaah Mnatia huruma sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Na bado ngoja tuchukue Kombe la Afrika ndio mtajua zama zenu zimepita mbwa nyie
hakuna cha maana hapaJibu kwa hoja acha mipasho
Sawadogo[emoji777]Kombe la Afrika[emoji777]
Kombe la Losers [emoji3581]
Bora useme wewe mkuu, kwa sasa Simba anaonekana sio kitu kabisa mbele ya utopolo,, hiki ni kichekeshoNa ndo shida kubwa ya wabongo, hawawez msifia mtu au kitu bila kukiponda au kukishusha kingine. Kwani hatuwez kusifia timu zetu bila kukandia timu nyingine.
Kigezo cha Yanga kuwa bora ni kipi? Kufuruhushwa toka CAFCL hadi kombe la losers ndiko kunaifanya Yanga kuwa bora?Duuh mbona unajitesa namna hii bure!!??Haujui mpira wa miguu unabadirika??
Kuna aliyebisha Simba haikuwa Bora hiyo miaka minne ya nyuma?
Huioni Yanga Kwa Sasa ndio timu Bora hapa nchini Tanzania??