Inatumika nguvu kubwa sana kuishusha Simba

Inatumika nguvu kubwa sana kuishusha Simba

Ndugu mbumbumbu jiulize maswali ya Msingi kabla huja sukumwa na hisia.
Jiulize msimu uliopita na msimu huu timu gani zilizokua zikitarajiwa kumpa changamoto Yanga na Matokeo yalikuaje?

Jiulize una misimu mingapi hujapata matokeo Kwa Yanga.
Jiweke Neutral angalia kikosi na bench laufundi la Yanga vinafanana na timu Yako?
Kama Yanga anabebwa na Marefa ndio Sababu ya kufanya vizuri, je! Kimataifa ambapo anafanya vizuri bado anabebwa na Marefa?
Kwa aina hii ya ushabiki nikopamoja na wadau wanao taka Lage ajengewe mnara [emoji3][emoji3]
Mkuu huoni aibu kuzungumzia kimataifa, ulikuwa cafcl sasa hivi upo kombe la mbuzi,, na una miaka karibia 30 huyajui makundi ya cafcl huo ubora wako uko wapi sasa ?
 
Timu ina wapiga debe watatu,kila mmoja anataka aonekane kafanya kazi aonekane kwa Boss,matokeo yake imekua kama kikundi cha mipasho !
Mkuu we acha tu, kila mtu pale utopoloni ni Afisa habari. Mbaya zaidi wana ropoka tu hakuna anaye ongea sense
 
Na ndo shida kubwa ya wabongo, hawawez msifia mtu au kitu bila kukiponda au kukishusha kingine. Kwani hatuwez kusifia timu zetu bila kukandia timu nyingine.
 
Duuh mbona unajitesa namna hii bure!!??Haujui mpira wa miguu unabadirika??
Kuna aliyebisha Simba haikuwa Bora hiyo miaka minne ya nyuma?
Huioni Yanga Kwa Sasa ndio timu Bora hapa nchini Tanzania??
Unabadirika [emoji777]

Unabadilika[emoji3581]

Mkiambiwa utopolo wote hamna akili timamu mnakasirika[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Na ndo shida kubwa ya wabongo, hawawez msifia mtu au kitu bila kukiponda au kukishusha kingine. Kwani hatuwez kusifia timu zetu bila kukandia timu nyingine.
Bora useme wewe mkuu, kwa sasa Simba anaonekana sio kitu kabisa mbele ya utopolo,, hiki ni kichekesho
 
Dawa ya uchambuzi uchwara ni kushinda mechi na kuingia nusu fainali. Mpira upo uwanjani, redioni na mtaani ni matokeo ya kinachofanyika uwanjani.

KILA LA HERI SIMBA.
 
😂😂 aisee maisha ni magumu sana ukiangalia vile jirani anapata riziki yake wewe una changamoto unaanza kisirani

Rizki haiwezi kukunyookea muda wote usipate changamoto, na wengine wanahitaji hicho unachokipata wakipata usione umetengwa (kwanini yeye apate mi nikose) subra kitu Cha msingi.

Kuna siku Azam nae atakuja vizuri. Makosa ya uwanjani Kila sehemu yapo ila mkuu unaangalia ya sehemu Moja

Upande wa wachambuzi wapo ndio wanachangamoto hiyo ya kuonesha ushabiki mf. Wachambuzi wa efm (wawili) Hawa nao Kuna muda wanasema ukweli ila Kuna muda wanaegemea zaidi upande mmoja
 
Duuh mbona unajitesa namna hii bure!!??Haujui mpira wa miguu unabadirika??
Kuna aliyebisha Simba haikuwa Bora hiyo miaka minne ya nyuma?
Huioni Yanga Kwa Sasa ndio timu Bora hapa nchini Tanzania??
Kigezo cha Yanga kuwa bora ni kipi? Kufuruhushwa toka CAFCL hadi kombe la losers ndiko kunaifanya Yanga kuwa bora?

Ko JKT Tanzania kwakuwa anaongoza champions ship ni bora kuliko singida big star na Azam ambao kwenye NBCpl ni wa Tatu , nne na kuendelea?

Angalia timu zilizopo CAFCL na timu zilizopo CAFcc utagundua nini ugumu wa CAFCL .

Timu 8 bora viwango vya CAF zote ziko CAFCL . Kule CAFcc ndani ya timu kumi bora haimo hata Moja.

Nina hakika Yanga angeingia makundi klabu bingwa , kwenye kundi lake angetoka na pointi Moja au mbili tu.
 
Back
Top Bottom