Inatumika nguvu kubwa sana kuishusha Simba

Inatumika nguvu kubwa sana kuishusha Simba

Daaah Mnatia huruma sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Na bado ngoja tuchukue Kombe la Afrika ndio mtajua zama zenu zimepita mbwa nyie
Kombe gani?we unaota bila shaka mwiko bado uko nyuma huko
 
Ndugu mbumbumbu jiulize maswali ya Msingi kabla huja sukumwa na hisia.
Jiulize msimu uliopita na msimu huu timu gani zilizokua zikitarajiwa kumpa changamoto Yanga na Matokeo yalikuaje?

Jiulize una misimu mingapi hujapata matokeo Kwa Yanga.
Jiweke Neutral angalia kikosi na bench laufundi la Yanga vinafanana na timu Yako?
Kama Yanga anabebwa na Marefa ndio Sababu ya kufanya vizuri, je! Kimataifa ambapo anafanya vizuri bado anabebwa na Marefa?
Kwa aina hii ya ushabiki nikopamoja na wadau wanao taka Lage ajengewe mnara [emoji3][emoji3]
Timu iko imara sana, imeenda DRC kwa Mazembe ikashinda bila Diarra, Djuma Shaaban, Kibwana, Aucho, Morrison, Fei Toto, Azziz Ki na kocha mkuu. Bado wapo jamaa wanashupaza shingo, ajabu kweli.
 
Back
Top Bottom