Inauma, inaumiza, inakereketa! William Mungu anakuona

Inauma, inaumiza, inakereketa! William Mungu anakuona

Linda Joseph

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2020
Posts
462
Reaction score
863
Kama wanavyosema kuwa jinsia KE hatutabiriki wala hatuaminiki, nyie Jinsia ME nini huwa kinawakuta? Nini hicho mmefanyia dada wa watu? So painful[emoji174][emoji174]

NB: Linda aliyetajwa humo na huyo dada siyo mimi Linda R. Joseph.

 
Kama wanavyosema kuwa jinsia KE hatutabiriki wala hatuaminiki, nyie Jinsia ME nini huwa kinawakuta? nini hicho mmefanyia dada wa watu? So painful
emoji174.png
emoji174.png



View attachment 2225510

Intelejensia inanambia itakuwa Jamaa kapenyezewa za chini chini kuwa huyo mwanamke SIO.. bora kuziba ufa..
Akaamua kupindua meza dk za majeruhi.

WIN WIN SITU.
 
Kwanza mwanamke mpaka anafika kwenye media kusema mambo yake na William, hii inafikirisha sana.
Pili huyo mwanamke sio wakwanza kuachwa maana hatujui alicho mfanyia William hadi akaamua kumuacha wakati tayari amesha mtolea mahari kuelekea kwenye ndoa.
William amekimbia jambo kubwa sana ambalo lingekuja kumgarimu katika maisha yake yote.
 
Back
Top Bottom