Inauma, inaumiza, inakereketa! William Mungu anakuona

Inauma, inaumiza, inakereketa! William Mungu anakuona

Sio kila mahusiano lazima yafikie ndoa, wakati mwingine inakuaga kama tuisheni tu alafu unasubiri mtihani...🤣
No sifikirii ndoa,nafikiria kumpenda mpaka tutakapokuwa tumepangiwa kufika ...even short time or long time I mean forever but kikubwa moyo umempenda na unamhitaji sasa sitaki kuumiza moyo ...umeamua kupenda acha upende ukibabuliwa as usual mi sihusiki kwenye kuumia 🤣
 
Back
Top Bottom