Inauma, inaumiza, inakereketa! William Mungu anakuona

Wiliam angemwambia tu ukweli uliomfanya amkimbie huyo Dada,pengine huyo Dada nae angekua na maelezo yake ya ufafanuzi,ni lazima mtuhumiwa asikilizwe kabla ya kufikia maamuzi,

Pole sana Dada hata kama kuna jambo lilikua halipo sawa kwenye upande wako pengine ndoa ingekuweka sawa,
Mshukuru Mungu huenda kuna jambo amekuepusha,endelea kumuamini Mungu utampata tu wakukuoa,

Good luck
 
William amefanya maamuzi sahihi kabisa.
Yawezekana baada ya ndoa, wiliam angekufa kwa stress ama angekonda kwa gubu la huyu mwanamke.
Binafsi sinaona muolewaji hapo.
Uongeaji wake tu, ngebe kibao, huyu alikuwa anataka ndoa tu then ajifyatue akili yake mbovu.

Jamaa nampongeza kwa dhati kabisa, ndoa ni jehanamu ukikutana na wanawake wa aina hii.
 
Wiliam angemwambia tu ukweli uliomfanya amkimbie huyo Dada,pengine huyo Dada nae angekua na maelezo yake ya ufafanuzi,ni lazima mtuhumiwa asikilizwe kabla ya kufikia maamuzi,

Pole sana Dada hata kama kuna jambo lilikua halipo sawa kwenye upande wako pengine ndoa ingekuweka sawa,
Mshukuru Mungu huenda kuna jambo amekuepusha,endelea kumuamini Mungu utampata tu wakukuoa,

Good luck
Hakika bro
 
Back
Top Bottom