Inauma, inaumiza, inakereketa! William Mungu anakuona

Inauma, inaumiza, inakereketa! William Mungu anakuona

Hata mm ningekua William ningepga chin mwanamke gan anaongea km chiriku ivo nitoke nitokako na stress zangu za petrol halafu home unapokelewa na lijitu Nenene tu linaongea halimalizi
🤣🤣🤣 mbona jitu nenenene mkuu?
Kwani wakati unachagua nyama ya supu mifupa hukuiona?
 
Sema huyo dada nae ni legend… yan umepigwa na kitu kizito hivyo na bado una nguvu za kuongea kwa media?

Mie sijui, naona ningekuwa nishaishiwa maji kwa kulia.. bed rest mwezi mzima kwa drip
 
Hizo mnazoita pisi kali hadi kufikia umri sehemu za siri zinakuwa zimeota sugu, mwanamke anayeshinda bar si wa kuoa maana ni viburi na jeuri.

Embu tazama hiyo clip hapo juu huyo mwanamke na kucha feki ataweza kuosha vyombo kweli?
Haaha uwii

Wengine kucha wanazo na vyombo wanaosha ā€˜ kama hajaweka ndefu. Wengine ataosha mdada.
 
Wiliam angemwambia tu ukweli uliomfanya amkimbie huyo Dada,pengine huyo Dada nae angekua na maelezo yake ya ufafanuzi,ni lazima mtuhumiwa asikilizwe kabla ya kufikia maamuzi,

Pole sana Dada hata kama kuna jambo lilikua halipo sawa kwenye upande wako pengine ndoa ingekuweka sawa,
Mshukuru Mungu huenda kuna jambo amekuepusha,endelea kumuamini Mungu utampata tu wakukuoa,

Good luck
Jamaa hajamkimbia makusudi, pengine jamaa alipata taarifa nyeti kutoka kwa CIA na FBI kuhusu A to Z za huyo demu
 
"There is a hiding agenda here" Tumsubiri Baharia Wille ajielezee..!!!

#YNWA
Nakazia Bwana Wile ana ajenda ya siri
 
Back
Top Bottom