GEMBESON
JF-Expert Member
- Apr 15, 2012
- 1,463
- 3,193
Naunga mkono hoja bila ya kusikiliza maelezo ya William.Kwanza mwanamke mpaka anafika kwenye media kusema mambo yake na William, hii inafikirisha sana.
Pili huyo mwanamke sio wakwanza kuachwa maana hatujui alicho mfanyia William hadi akaamua kumuacha wakati tayari amesha mtolea mahari kuelekea kwenye ndoa.
William amekimbia jambo kubwa sana ambalo lingekuja kumgarimu katika maisha yake yote.
William ujengewe mnara wa kumbukumbu huko ukweni.