Beesmom
JF-Expert Member
- May 30, 2016
- 17,202
- 28,732
Labda ivoKuna mwanamke anae tamanisha kupiga na kusepa.. hao wapo wengi sana dsm
Llinapokuja swala la ndoa.. wanaume tunaangalia vingi kuliko kawaida[emoji23][emoji23][emoji23]
Hamjuagi tu..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda ivoKuna mwanamke anae tamanisha kupiga na kusepa.. hao wapo wengi sana dsm
Llinapokuja swala la ndoa.. wanaume tunaangalia vingi kuliko kawaida[emoji23][emoji23][emoji23]
Hamjuagi tu..
Tunawashangilia kwenye kungonoka tuu sio kwa future..coz hawana features za wifes materialsYupo sawa tu,mbona dar wanawake asilimia kubwa huvaa ivo na mnawashangilia
Endela kutoa shuhuda... wasomaji tupo...Inauma wewe
Me niliachwa na Bf.. july mpk October nikogo naomboleza.
Nilikuja kukubali November mwishoni..
Hayanaga muongozo...😂 nishapoa dear… haya mambo hayana baunsa.
Kuna muda nakaa nakumbuka basi najicheka tu.
Umeongea point bro.Pasipo kusikiliza upande wa pili, Huyo WILLIAM apewe pongezi nyingi sana huko aliko.!
Yan..
Mchungaji,William aliyajua haya baada ya Kutoa posa.Kama ndio huyu muolewaji, basi Nasimama na William.
WILLIAM siyo gaidi
View attachment 2225562
Noooo , William apewe ulinzi huko alipo.
View attachment 2225621
William alimuoa Linda baada ya kumiacha Jack, baada ya William kuoa ndipo inasemekana Jack akatengemeza story.Inasemekana dada alikuw anafanya kweny kampun fulan bandarini, Will naye alikuwa huko huko..ila mmh usiombe yakukute[emoji24][emoji24][emoji24]
Hahah
Mwambie leo Tunavunja kamati Asikose kikaoni.William anasema amepokea pongezi zenu za dhati, alikua kanisani anatoa sadaka ya shukrani
Hahahaha...Hahah
Wewe huyo?
Na nilijaribu jana nikaona hushtuki 😅😂
Utakuwa uko sahihi kabisa.Mchungaji,William aliyajua haya baada ya Kutoa posa.
😂😂😂 sasa kwanini hutishiki?Hahahaha...
Kule ni kunitishia... hahaha kaone kwanza ati unanitishia...
Waulize Mabantu... hehehe...😂😂😂 sasa kwanini hutishiki?
Wasikudanganye tunaangalia takoLabda ivo