Smart911
Platinum Member
- Jan 3, 2014
- 135,167
- 160,806
Ulivyonitishia, nikasema haka katoto hakanijui siyo mimi sitishiki kirahisi...πππππ sasa ni kipi ulikaza?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulivyonitishia, nikasema haka katoto hakanijui siyo mimi sitishiki kirahisi...πππππ sasa ni kipi ulikaza?
Huwezi kwenda kuishi na shida maisha yako yote.No matter what were the reasons BUT IT IS TOO PAINFUL TO BE LEFT LIKE A TRASH......
Jamani siku chache kabla ya ndoa na kote church with all those procedures and paperworks!!!!!
Tunatiliana NUKSI jamani
πππ Sa itakuwaje?Ulivyonitishia, nikasema haka katoto hakanijui siyo mimi sitishiki kirahisi...
The legendy Willium atafutwe apewe tuzo maana Dada zetu wamezidi kutaka slope katika maishaMwamba ametuwakilisha vyema sana
huyu dada km sio mmeru ni mmachame
Wewe unataka iweje? ππππ Sa itakuwaje?
Acha ukorofi banaWewe unataka iweje? π
Mimi hata siyo mkorofi...Acha ukorofi bana
Na vibonge ndio ugonjwa wake πππNakuombea upate mwanamme anayejielewa mtatengeneza familia bora kabisa, ila ile tabia yako ya kwenda bar na clubs upunguze sasa ili usijempata wa kufanana nae.
Hapa chini ona mke aliyooa william, she is total a wife material binti mzuri na anajua kujistiri vyema kabisa.
View attachment 2225659
ππππ au sioMimi hata siyo mkorofi...
Wakorofi ni William, Linda na huyo aliyetolewa posa...
Sasa ilikuaje akamrudia ambaye hakuna na mpango nae? Huyo mwanamke anajua kua Wiliam alitaka kuoa mwanamke mwingine na sio yeye toka mwanzo,So hata huyo mwanamke itakua sio rahisi kumuamini sana huyo Wiliam.Shida william alichelewa kupata mafile na kujua ukweli wa maisha halisi ya bidada kabla hajakutanaa naeee... Ila sasa ameshaujua ukweli hawezi kuendelea kujikaanga na mafuta yake mwenyeweee ...its better late than never
Mkuu naona mnapeana hidden 'mistari' na bibie Depal kidegree zaidi.Mimi hata siyo mkorofi...
Wakorofi ni William, Linda na huyo aliyetolewa posa...
πππ
Uhusiano na mapenzi hayana formula mkuu, no more trick just a reality ndio itakayo'matter.Sasa ilikuaje akamrudia ambaye hakuna na mpango nae? Huyo mwanamke anajua kua Wiliam alitaka kuoa mwanamke mwingine na sio yeye toka mwanzo,So hata huyo mwanamke itakua sio rahisi kumuamini sana huyo Wiliam.
Tufurahi wote basi kilichokufurahisha...πππ
πππ me mwenyewe sielewiTufurahi wote basi kilichokufurahisha...
Utaelewa tu...πππ me mwenyewe sielewi
Mi najipa umuhimu wa kuanga V.A.R tu..rafu na madhaifu madogo madogo nitayafukia..the convo is not bad at all.πππ
Saaana kwa pande zoteOooh kumbe? Ila haya yanatokea mara nying mnoo