Inauma, inaumiza, inakereketa! William Mungu anakuona

Inauma, inaumiza, inakereketa! William Mungu anakuona

Kama wanavyosema kuwa jinsia KE hatutabiriki wala hatuaminiki, nyie Jinsia ME nini huwa kinawakuta? nini hicho mmefanyia dada wa watu? So painful[emoji174][emoji174]


View attachment 2225510

NB: Linda aliyetajwa humo na huyo dada siyo mimi Linda R.Joseph.
Halafu mbona mm ilishanikuta situations kama hio lakini sijalalamika,%kubwa ya wanaume wanafanyiwa hivyo na wanawake lkn kwasababu wana koromeo lkn wanakaa kimyaaa tunakufaa na tai zetu shingon, nyie sasa mpaka mpaka mashirika ya kutetea haki za wanawake wataingilia, kwa upande wangu alichofanyiwa huyo na William ni sawa kabisa
 
Kuna mwanamke ukimuonaa tu huitaji story ya upande wa pilii[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mwanamke ana tatoo anavaa vipedoo bar kaka Utakuja kupigwa na vitu vizitooo hutaamini...

Umeupiga mwingi sana[emoji1787][emoji1787]
 
No matter what were the reasons BUT IT IS TOO PAINFUL TO BE LEFT LIKE A TRASH......

Jamani siku chache kabla ya ndoa na kote church with all those procedures and paperworks!!!!!

Tunatiliana NUKSI jamani
😂 speaking of double standards , vipi alivyomficha jamaaa mambo yoote hadi akaja pewa file lake heavy?

Hii ndo dawa sasa tena alitakiwa amwache mbele pale madhabauni
 
Kuna mwanamke anae tamanisha kupiga na kusepa.. hao wapo wengi sana dsm

Llinapokuja swala la ndoa.. wanaume tunaangalia vingi kuliko kawaida[emoji23][emoji23][emoji23]

Hamjuagi tu..
Yap! Huu ndo ukweli hata kama jamaa ana body count kubwa ukimuuliza anataka mwanamke wa aina gani atakuambia aliyetulia, mchamungu na mwente upendo ila sjui kwanini wanawake hawajui hili.
 
Mkuu issue sio kumuoa au kutomuoa,
Ilikuaje huyo Wiliam akataka kumua huyo mwanamke na hakutaka kumuoa huyo aliyekua nae toka mwanzo kisha baada ya hiyo ndoa kutokuwepo akamrudia yule ambaye hakutaka kumuoa aliyekua nae mwanzo?
Hii ishu ilitokea 2019 au 2020 hivi wameijadili sana na hata huyo dada alipigwa maswali hapo hapo studio (clouds nadhani) ikagundulika alikuwa shamba la bibi haswaaaa ndo mana jamaa akasepa .

😂 shida jamaa alipata file mwisho hukooo karibu na kuoa
 
Kabla hujahukumu sikiliza upande wa pili pia William sio chizi kupaisha penalti dakika za mwisho lazima alikuwa ameona Akifunga utakuwa ni ushindi wenye kumgharimu maisha yake , AF pia siku zote mtandao sio sehemu ya kuongea au kutafuta suluhu ya mahusiano yenu na ukiona mwanamke anatoka kwenda kutangaza mambo yenu ya ndani kwa umma Aisee usifikirie mara mbili kupiga chini huyo mwanamke.

William apewe na ulinzi
 
Kama wanavyosema kuwa jinsia KE hatutabiriki wala hatuaminiki, nyie Jinsia ME nini huwa kinawakuta? nini hicho mmefanyia dada wa watu? So painful[emoji174][emoji174]


View attachment 2225510

NB: Linda aliyetajwa humo na huyo dada siyo mimi Linda R.Joseph.
Ninawapenda wanawake kama mama zangu nawashauri pendeni wanaume wanaopenda kuongea na majadiliano mkiishi kwa kupenda hisia na ulaghai ili mfaidi au mtibu shida zenu ni hatari, kibaka ni kibaka huyo Linda ameroga, dealing mtu mwenyewe mawasiliano na EX au Maex ni tsunami
 
Nawaza Tuu huyu Will alishamtambulisha Linda kwa Wazazi then Akampotezea na kutaka kumuoa Jackie, mwisho wa siku unakuta wazazi wanagoma.. Kuna wakati wazazi nao ni chanzo kwa tukio kama hili.
 
Hii ishu ilitokea 2019 au 2020 hivi wameijadili sana na hata huyo dada alipigwa maswali hapo hapo studio (clouds nadhani) ikagundulika alikuwa shamba la bibi haswaaaa ndo mana jamaa akasepa .

😂 shida jamaa alipata file mwisho hukooo karibu na kuoa
Kama ni hivyo sawa ila mimi ndio mara yangu ya kwanza ndio naiona hapa,

So,nimechangia thd kama member ambaye ndio kwanza leo kaiona hii issue.
 
Back
Top Bottom