Inauma, inaumiza, inakereketa! William Mungu anakuona

Inauma, inaumiza, inakereketa! William Mungu anakuona

Nitaleta uzi ku3lezea the other side of the story!

Nimevumilia mengi sana kutoka kwa huyo Dada
Naomba mpuuzie malalamiko yake anataka kunichafuwa, anatafuta sympathy lakini ni bingwa mkubwa sana kwe manipulate!
 
Wiliam angemwambia tu ukweli uliomfanya amkimbie huyo Dada,pengine huyo Dada nae angekua na maelezo yake ya ufafanuzi,ni lazima mtuhumiwa asikilizwe kabla ya kufikia maamuzi,

Pole sana Dada hata kama kuna jambo lilikua halipo sawa kwenye upande wako pengine ndoa ingekuweka sawa,
Mshukuru Mungu huenda kuna jambo amekuepusha,endelea kumuamini Mungu utampata tu wakukuoa,

Good luck
Acha uzwazwa basi,,huyu wa Uchi Uchi bar anabugia pombe ndo..
 
🤣🤣🤣🤣
 
Acha uzwazwa basi,,huyu wa Uchi Uchi bar anabugia pombe ndo..
Kwa comment hiyo unaonekana ulilelewa kwenye malezi ya hovyo sana na till now una maisha magumu ndio maana unatumia lugha mbovu kwa mtu usiye mjua ili tu kupunguza machungu yako!

Pambana utatoka tu.
 
Jidanganye watu wanayaacha matako ndani anaenda ishi kwa nyumba ndogo ambaye sura hana na kapigwa pasi, kwenye ndoa mwanaume huwaga anatafuta UTULIVU na AMANI ya moyo.

Sasa okota mwanamke kisa tako, uone jinsi utakavyo jijengea kajehanum kadogo nyumbani kwako, nyumba yako mwenyewe lkn utakuwa unarudi saa sita usiku kuondoka saa kumi na moja alfajiri. Unapofanya maamuzi ya kuoa tumia kichwa cha juu, ila upofanya maamuzi ya kutimiza tamaa zako za kimwili tumia kichwa cha chini shauri yako.
Kujitesa kote kwa nini? Mtu akizingua si unaachana naye tu?
 
Nitaleta uzi ku3lezea the other side of the story!

Nimevumilia mengi sana kutoka kwa huyo Dada
Naomba mpuuzie malalamiko yake anataka kunichafuwa, anatafuta sympathy lakini ni bingwa mkubwa sana kwe manipulate!
🤣🤣🤣🤣😃😃🤣🤣sawa bwana wille
 
Wiliam angemwambia tu ukweli uliomfanya amkimbie huyo Dada,pengine huyo Dada nae angekua na maelezo yake ya ufafanuzi,ni lazima mtuhumiwa asikilizwe kabla ya kufikia maamuzi,

Pole sana Dada hata kama kuna jambo lilikua halipo sawa kwenye upande wako pengine ndoa ingekuweka sawa,
Mshukuru Mungu huenda kuna jambo amekuepusha,endelea kumuamini Mungu utampata tu wakukuoa,

Good luck
Kuna mamba ambayo hutakiwi kumpa nafasi mtu unaweza kujikuta unamuonea huruma

Mimi ilinitokea ni date na dada mmoja siku chache kabla ya kwenda kitia posa nikagundua mambo kibao ambayo siku yategemea with vivid evidence akili yangu iliniambia nikikaa naye kuyazungumzia ataomba msamaha nikajikuta nimelegea nikamsamehe. Nilichokifanya ni kukata mawasiliano
 
Wille de Champ,thumb up dude....Kidemu kinaongea kama kime setiwa
 
Ndoa hailazimishwi

Wanawake tunakatabia cha kulazimisha ndoa, na mpk mahari tunajitolea

Mwanaume akikupenda hata bila ndoa mtaishi tu.

Huyu ni king'ang'anizi huyu
 
Back
Top Bottom