Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umejuaje kama ni ghaflaMimi simlaumu kumuacha huyo mwanamke. Ila kurudi kwa x ghafla inaonyesha hana msimamo. Na kama ningekuwa wazazi wa x nisingekubali mwanangu aolewe na huyo William. Bora angetulia atafute mwanamke mwingine. Hata huko kwa x hatapata amani. Ma x wengine wanakuwa wanalipiza kisasi.
Wewe si Linda lakiniKama wanavyosema kuwa jinsia KE hatutabiriki wala hatuaminiki, nyie Jinsia ME nini huwa kinawakuta? nini hicho mmefanyia dada wa watu? So painful[emoji174][emoji174]
View attachment 2225510
NB: Linda aliyetajwa humo na huyo dada siyo mimi Linda R.Joseph.
Nilikua nshaanza kumlani wile , ila kumbe hizi hadith za upande mmoja ni shida sanaKama ndio huyu muolewaji, basi Nasimama na William.
WILLIAM siyo gaidi
View attachment 2225562
Noooo , William apewe ulinzi huko alipo.
View attachment 2225621
Inawezekana hii team ndio iliomponzaKumbe ni shabiki wa yanga
Ingekuwa umempunguzia binti yako stress za kwenda kuripoti cloudsMimi mtu mzima ati.
Mimi nasema kama ningekuwa wazazi wa Linda huyo William nisingekubali kua binti yetu. Ingawa story yenyewe nasikia ni ya kutunga hii
Willy ni mvulana Mama,inakuwaje unawekeza penzi lako Kwa vitoto vichanga havijaanza kutoa mbegu nzito Kama ujiKama wanavyosema kuwa jinsia KE hatutabiriki wala hatuaminiki, nyie Jinsia ME nini huwa kinawakuta? nini hicho mmefanyia dada wa watu? So painful[emoji174][emoji174]
View attachment 2225510
NB: Linda aliyetajwa humo na huyo dada siyo mimi Linda R.Joseph.
Seems like Jack ni jaki kweli kweliView attachment 2226477View attachment 2226479View attachment 2226478Mmesikia upande wa pili au mnajudge ty
Kwa sisi tunaomfahamu vyema mlalamikaji wala hatutatumia muda kumsikiliza hapo pamoto huyo William mpe pongezi Sanaa.Karma is a bitch. .
Mda mwingine sio kila kitu kulalamika, usikute Mungu kamuepusha na mtu mbaya sana. Mda mwingine tunatakiwa tujifunze kufurahi na kushukuru hata kwenye mambo yasiyotupendeza. .
Hapo hamna muolewaji.Kwanza mwanamke mpaka anafika kwenye media kusema mambo yake na William, hii inafikirisha sana.
Pili huyo mwanamke sio wakwanza kuachwa maana hatujui alicho mfanyia William hadi akaamua kumuacha wakati tayari amesha mtolea mahari kuelekea kwenye ndoa.
William amekimbia jambo kubwa sana ambalo lingekuja kumgarimu katika maisha yake yote.
Mmh, William kastuka kudaadeki..Kama ndio huyu muolewaji, basi Nasimama na William.
WILLIAM siyo gaidi
View attachment 2225562
Noooo , William apewe ulinzi huko alipo.
View attachment 2225621
[emoji16][emoji16]Pasipo kusikiliza upande wa pili, Huyo WILLIAM apewe pongezi nyingi sana huko aliko.!