Inauma, inaumiza, inakereketa! William Mungu anakuona

Inauma, inaumiza, inakereketa! William Mungu anakuona

Duh haya ndio majina huwa nayatumia huko kitaa.

Ndio mimi au??
 
Ila wanaume tunapotaka kufanya maamuzi ya kuoa tunakuwaga makini, yaani sijui shepu, matako na uzuri wa sura huwaga havina nafasi yaani inakuwa kama ile penati ya mwisho ukikosa basi umepoteza game.
Ah wee acha utani unaoaje mwanamke hana tako bwana au sura
 
Ah wee acha utani unaoaje mwanamke hana tako bwana au sura
Jidanganye watu wanayaacha matako ndani anaenda ishi kwa nyumba ndogo ambaye sura hana na kapigwa pasi, kwenye ndoa mwanaume huwaga anatafuta UTULIVU na AMANI ya moyo.

Sasa okota mwanamke kisa tako, uone jinsi utakavyo jijengea kajehanum kadogo nyumbani kwako, nyumba yako mwenyewe lkn utakuwa unarudi saa sita usiku kuondoka saa kumi na moja alfajiri. Unapofanya maamuzi ya kuoa tumia kichwa cha juu, ila upofanya maamuzi ya kutimiza tamaa zako za kimwili tumia kichwa cha chini shauri yako.
 
Jidanganye watu wanayaacha matako ndani anaenda ishi kwa nyumba ndogo ambaye sura hana na kapigwa pasi, kwenye ndoa mwanaume huwaga anatafuta UTULIVU na AMANI ya moyo.

Sasa okta okta huko kisa tako, uone jinsi utakavyo jijengea kajehanum kadogo nyumbani kwako, nyumba yako mwenyewe utakuwa unarudi saa sita usiku kuondoka saa kumi na moja alfajiri. Unapofanya maamuzi ya kuoa tumia kichwa cha juu, ila upofanya maamuzi ya kutimiza tamaa zako za kimwili tumia kichwa cha chini shauri yako.
Sawa kila mtu na maamuzi yake mie mwanamke hana tako wala minyonyo siwezi weka ndani. Mwanamke pambo la nyumba bwana.....akipita analitingisha tako tayari moyo una burudika
 
Back
Top Bottom