Inauma, inaumiza, inakereketa! William Mungu anakuona

Inauma, inaumiza, inakereketa! William Mungu anakuona

Kuna tofauti kubwa kati ya mke na mwanamke.
Mke haendi bar, na ikibidi aende tunaenda wote.
Mwanamke anatangulia bar af tunamkuta na ikibidi tunamkula
NB: sihalalishi uzinzi
Kwenu halali eeeh? Aibu hii[emoji1745][emoji1745]
 
Kama wanavyosema kuwa jinsia KE hatutabiriki wala hatuaminiki, nyie Jinsia ME nini huwa kinawakuta? nini hicho mmefanyia dada wa watu? So painful[emoji174][emoji174]

View attachment 2225510

NB: Linda aliyetajwa humo na huyo dada siyo mimi Linda R.Joseph.
William is a hero!

Screenshot_20220515-180924_Twitter.jpg

Screenshot_20220515-180535_Twitter.jpg
 
Mkuu issue sio kumuoa au kutomuoa,
Ilikuaje huyo Wiliam akataka kumua huyo mwanamke na hakutaka kumuoa huyo aliyekua nae toka mwanzo kisha baada ya hiyo ndoa kutokuwepo akamrudia yule ambaye hakutaka kumuoa aliyekua nae mwanzo?
Shida william alichelewa kupata mafile na kujua ukweli wa maisha halisi ya bidada kabla hajakutanaa naeee... Ila sasa ameshaujua ukweli hawezi kuendelea kujikaanga na mafuta yake mwenyeweee ...its better late than never
 
Mmesikia upande wa pili au mnajudge ty
 
Kama wanavyosema kuwa jinsia KE hatutabiriki wala hatuaminiki, nyie Jinsia ME nini huwa kinawakuta? nini hicho mmefanyia dada wa watu? So painful[emoji174][emoji174]

View attachment 2225510

NB: Linda aliyetajwa humo na huyo dada siyo mimi Linda R.Joseph.
Linda Joseph:

Hii issue ikoje maana huko Twitter hata sielewi maana huko wanamlaumu huyu dada zama zake !!!
 
Hizo mnazoita pisi kali hadi kufikia umri sehemu za siri zinakuwa zimeota sugu, mwanamke anayeshinda bar si wa kuoa maana ni viburi na jeuri.

Embu tazama hiyo clip hapo juu huyo mwanamke na kucha feki ataweza kuosha vyombo kweli?
Nimekuelewa hapa mzee wangu[emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]
 
Thubutu, unifikii kwa usugu hata mara 1...

Ulijaribu nikakukazia ukajishusha... 😀😀 alafu nilifanya kusudi ujue...
😂😂😂 nyani mkongwe??

Kumbe ulijua? Ndio maana nimekwambia we mjeuri sana 😂😂😂 eti sikuona hata, khaaa
 
😂😂😂 nyani mkongwe??

Kumbe ulijua? Ndio maana nimekwambia we mjeuri sana 😂😂😂 eti sikuona hata, khaaa
Kuona ni kweli sikuona, hilo sitanii hata ulivyokuja kusema ulichofanya nikawa nashangaa tuu...
 
Back
Top Bottom