Inauma, inaumiza, inakereketa! William Mungu anakuona

Inauma, inaumiza, inakereketa! William Mungu anakuona

Huyo Wiliam hawezi tena kuaminika hata huko alipoenda kwa huyo mwanamke mwingine,ni suala la muda tu,kwanini asingemuoa huyo aliyemfuata sasa hivi? kwanini akataka kuoa mwanamke mwingine? so,hata Wiliam ni msaliti tu.
Kwahiho kaka wewe unaakili kuliko William??[emoji23][emoji23][emoji23]

Biblia inasema kuwa na mwanamke mwenye maneno mengi.. ni shida kuwa nae sawa na mzee anaetembea mchanganii..
 
Kama wanavyosema kuwa jinsia KE hatutabiriki wala hatuaminiki, nyie Jinsia ME nini huwa kinawakuta? nini hicho mmefanyia dada wa watu? So painful[emoji174][emoji174]


View attachment 2225510

NB: Linda aliyetajwa humo na huyo dada siyo mimi Linda R.Joseph.

Pole sana Linda ingawa umeficha sura hapo kwa pfp ila William si mtu mpoa.
 
Heri kuhara stendi kuliko kuharisha gari likiwa safarini.
Bwana Wile alishtuka dakika za majeruhi akaona auze mechi. Na pia kwenda kupiga mboyoyo kwa media haibadiloshi kitu.
Angevunga atafute kamjamaa ajaribu tena.
 
Kwahiho kaka wewe unaakili kuliko William??[emoji23][emoji23][emoji23]

Biblia inasema kuwa na mwanamke mwenye maneno mengi.. ni shida kuwa nae sawa na mzee anaetembea mchanganii..
Pole sana aisee naona hukuelewa nilicho comment.
 
Wanaume wengi hawataki wanawake wao waende Bar, Lakini wanaume wengi wanataka wakienda bar wakute wanawake.
Kuna tofauti kubwa kati ya mke na mwanamke.
Mke haendi bar, na ikibidi aende tunaenda wote.
Mwanamke anatangulia bar af tunamkuta na ikibidi tunamkula
NB: sihalalishi uzinzi
 
Sema huyo dada nae ni legend… yan umepigwa na kitu kizito hivyo na bado una nguvu za kuongea kwa media?


Mie sijui, naona ningekuwa nishaishiwa maji kwa kulia.. bed rest mwezi mzima kwa drip
Cha kulia kulia...

Depal naomba unipige tukio mpaka ninyoke...
 
Back
Top Bottom