Inauma, inaumiza, inakereketa! William Mungu anakuona

Inauma, inaumiza, inakereketa! William Mungu anakuona

Hakuna mwanamke hapa, hakika william ni shujaa..

4CD07279-12F8-49BC-820C-8540B296CD46.jpeg
88A95FD4-FAF2-4C0C-BED1-93B4F1B1D312.jpeg
 
Kwanza mwanamke mpaka anafika kwenye media kusema mambo yake na William, hii inafikirisha sana.
Pili huyo mwanamke sio wakwanza kuachwa maana hatujui alicho mfanyia William hadi akaamua kumuacha wakati tayari amesha mtolea mahari kuelekea kwenye ndoa.
William amekimbia jambo kubwa sana ambalo lingekuja kumgarimu katika maisha yake yote.

Huyo Demu wa kushinda Bar kunywa mapombe si wa kuoa ,ni wa Kupeleka moto na kusepa.
 
Back
Top Bottom