Inauma, inaumiza, inakereketa! William Mungu anakuona

Linda Joseph

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2020
Posts
462
Reaction score
863
Kama wanavyosema kuwa jinsia KE hatutabiriki wala hatuaminiki, nyie Jinsia ME nini huwa kinawakuta? Nini hicho mmefanyia dada wa watu? So painful[emoji174][emoji174]

NB: Linda aliyetajwa humo na huyo dada siyo mimi Linda R. Joseph.

Your browser is not able to display this video.
 
Kwanza mwanamke mpaka anafika kwenye media kusema mambo yake na William, hii inafikirisha sana.
Pili huyo mwanamke sio wakwanza kuachwa maana hatujui alicho mfanyia William hadi akaamua kumuacha wakati tayari amesha mtolea mahari kuelekea kwenye ndoa.
William amekimbia jambo kubwa sana ambalo lingekuja kumgarimu katika maisha yake yote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…