Nashawai kuachwa,nimeshawahi kuishi bila kazi/pesa......aisee watu wanaosema mapenzi yanauma ni waongo sana......hivi ile feeling hauna hela upo tu ndani dah aisee,.......huna kazi wala connctio yeyote ile usiombe ikukuteNimeachana na mpenzi wangu ambae nlikuwa nae kwa miaka sita,lakini nimeanza kuona changes baada ya kufika town hapa dsm .tumeamua tuachane tu.
Mkuu hivi ilikuwaje kwako maana maumivu yako hayajawahi poa....ameolewa au ana mtoto??Inauma Kwakweli basi tu ndio hivo hakuna jinsi[emoji30][emoji30]
Watu makatili sana mkuuMkuu hivi ilikuwaje kwako maana maumivu yako hayajawahi poa....ameolewa au ana mtoto??
Nimeamua kuoa mniombee.
Inauma Kwakweli basi tu ndio hivo hakuna jinsi[emoji30][emoji30]
wacha roho hiyo sheh wangu ....Mtaachana tu[emoji28]
kazi unayo pesa si haba ,kila kitu kina umuhimu wake kwa muda flan mkuu ila sssaf kama hela unayo wapo wengi sana siku hiziNashawai kuachwa,nimeshawahi kuishi bila kazi/pesa......aisee watu wanaosema mapenzi yanauma ni waongo sana......hivi ile feeling hauna hela upo tu ndani dah aisee,.......huna kazi wala connctio yeyote ile usiombe ikukute