Inauma sana. Leo amenitamkia wazi kuwa simridhishi na hajawahi kuridhishwa

Ana bwawa au kisima hebu mkague vyema ulete mrejesho tupate solution pengine umeokota malaya mkuu
 
Kinachoniuma Ni kwanini wengine nawaridhisha!
[emoji23][emoji23][emoji23] sasa kwani ni lazima uridhishe wanawake wote?
Kashakuambia ukweli humridhishi, sasa why umgande km rubber?
 
Amlimpie marejesho yake kwanza bidada atulize akili. Eti haridhiki [emoji3][emoji3] ina maana hata deep kissing ye hashtuki?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na imagine huyo bidada yukoje sipati jibu,
Au anaweza kua asexual?
 
Haridhiki natendooo la uzinifu wafanyalo...yaani inshort mkuyenge wajamaaa haumfurahish...Sasa deep kiss ndo mkuyenge?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah, kwahiyo jamaa ni ana kiba100? Lol
 
Tobaaaaaaah
 
Umesema kweli kabisa kiongozi.....Mwanamke ni kiumbe tofauti kabisa.
 
Umemchunguza vizuri ,anacho kisumbuzi au kilishafyekelewa mbali na tcra
 
Nadhan ameamua kubalance kwa kusema hajawahi ridhishwa Ila kimsingi hajawahi ridhishwa na wewe......anagalia maandalizi yako kabla ya mechi pia matumizi ya viungo vyako na vyake vya mwili.ASANTE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…