Inauma sana. Leo amenitamkia wazi kuwa simridhishi na hajawahi kuridhishwa

Inauma sana. Leo amenitamkia wazi kuwa simridhishi na hajawahi kuridhishwa

Amlimpie marejesho yake kwanza bidada atulize akili. Eti haridhiki [emoji3][emoji3] ina maana hata deep kissing ye hashtuki?
Haridhiki natendooo la uzinifu wafanyalo...yaani inshort mkuyenge wajamaaa haumfurahish...Sasa deep kiss ndo mkuyenge?
 
Haridhiki natendooo la uzinifu wafanyalo...yaani inshort mkuyenge wajamaaa haumfurahish...Sasa deep kiss ndo mkuyenge?
Kuwa satisfied na tendo kunaanzia kwenye foreplay mpaka hitimisho la zile dk 90. Kama hamuandai vyema unadhani hizo in out zake zitamfikisha mdada on peak? Not sure
 
Huo ujumbe ulikuwa una kuhusu wewe tuu! Hapo kwenye mwanaume yeyote ameweka tuu kwaajili ya kupunguza ukali wa maneno! Kifupi ana kwambia wewe umrudhishi kabisa! Hivyo huo ni ujumbe wako!

Hivyo cha kufanya ni kuweka jitihada kuhakikisha una mridhisha ili mradi una mikono,kichwa,mdomo,ulimi,Uume ,macho basi naamini unaweza kumridhisha cha msingi ni kuwa na dhamira!

Ukiona mwanamke hadi anasema basi amechoka kabisa hivyo fanya jambo asikimbie !
 
Tafuta wataalamu wa mambo ya "kunyanza au kachabali wanaita"wakueleweshe huyo utampandisha mlimani vizuri tu.
 
Huo ujumbe ulikuwa una kuhusu wewe tuu! Hapo kwenye mwanaume yeyote ameweka tuu kwaajili ya kupunguza ukali wa maneno! Kifupi ana kwambia wewe umrudhishi kabisa! Hivyo huo ni ujumbe wako!

Hivyo cha kufanya ni kuweka jitihada kuhakikisha una mridhisha ili mradi una mikono,kichwa,mdomo,ulimi,Uume ,macho basi naamini unaweza kumridhisha cha msingi ni kuwa na dhamira!

Ukiona mwanamke hadi anasema basi amechoka kabisa hivyo fanya jambo asikimbie !
Asante
Hapa nimeelewa
 
Napenda mwanamke muwazi. Anayeweza kukuambia kitu kama hichi huku mnajoke ila ukweli umefika.

Wewe mleta uzi tafuta mume uridhishwe.
 
kwa uzoefu wangu hapa anatumia usataarabu kuwa hakutaki kuendelea na hayo mahusiano na ww! akili kichwani kwako. anataka muachane kwa amani. huenda amehofia akikuacha kibabe utaleta ugomvi.... achana na huyo msichana. uking'ang''ania ukubali kuwa sub
 
Tangu kuumbwa kwa ulimwengu huu hakuna mwanaume aliyefanikiwa kumridhisha mwanamke....na wanaume wote waliojaribu kufanya hivyo wengine wameshafariki, wengine wapo jela wakitumikia vifungo, baadhi yao wana makovu makubwa kwenye miili yao na ulemavu....na wengine wapo kwenye majuto makuu.......

Asiyeridhika na uhalisia wako hapaswi kuwa sehemu ya maisha yako......
 
Habari wakuu
Pamoja na umwamba wangu katika mapenzi
Nimekutana na binti mmoja ambae tumekutana kimwili Mara 4
Leo kanichana wazi baada ya mchezo kuwa simridhishi na hajawahi kuridhishwa na mwanaume yeyote.
Nimebaki njia Panda sijui Cha kufanya
Natamani nimuache ila naona sio solution nzuri
Naombeni msaada wenu
Kaa nae chini uongee nae umuulize umfanyie nini ili ajisikie raha akiwa patika hilo tendo.
 
Back
Top Bottom