Inauma sana na haivumiliki

Marcy

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2013
Posts
2,430
Reaction score
5,910
Unakuwa na mahusiano na mtu kipato cha chini

umeamua kumpenda na kumvumilia jinsi hali yake yamaisha ilivyo mnavuka mabonde vichaka na milima kwa pamoja dharau kejeli na maneno ya hovyo kutoka kwa ndugu kisa uliyenae hohehae.

hata zile salamu kutoka kwa ndugu hakuna unaamua kuziba masikio ukiamini ipo siku mungu atafungua milango kwa huyo ulie nae shida inakuja mwanaume akisha jipata nyumban hapakaliki kutwa kiguu na njia na wanawake wengine mwisho wa siku anakuja kuoa mwanamke mwingine.

Je, mwanaume wa namna hii utamfanya nini kumshusha busha kumtafutia wahuni wafanye yao au utamwacha aiende ukiangalia kakupotezea muda?

Inauma kwakweli
 
Kwa nini unataka kulazimisha mapenzi?

Kwa nini unataka kumdhuru mtu kwa sababu kaamua hakupendi tena?

Wewe ni mbaya hivyo kwamba huwezi kupata mwingine?

Yani huyo peke yake ndiye alikuwa mwokozi wako dunia nzima?
 
Wahenga wanasema Kila mwanaume mwenye mafanikio ujue nyuma yake Kuna mwanamke.

Shida ni kujua je ni mwanamke gani yupo nyuma ya ayo mafanikio anyway pole sana Mkuu uwende umefanyika daraja ivyo kazi yako imeisha tafuta mwingine ambaye atakuwa daraja kwako
 
Never fall in love with a dreamer..! Atakuumiza sana
 
Never fall in love with a dreamer..! Atakuumiza sana
 
Njoo na Mimi niinjike kichwa changu hapo naitwa onjaonja Mzee wa kugonga milango iliyofungwa sana
 
Mwache aende zake mkali
 
My dear, mwachie Mungu. Mungu ndiye mwamuzi wa haki.
Hayo mengine achana nayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…