Loly
JF-Expert Member
- Mar 10, 2011
- 522
- 221
Habarini za leo mmu,
Hivi hii tabia chafu ya wanaume unakuta mtu ameoa mke wake cha ajabu yule mwanamke ndio anamlisha,mke akijifungua gharama zote juu ya mwanke uzazi mwanamume hachangii hata thumuni. Chakula cha familia ni mama majumu yote ndani mumba ni mke ada za shule ni mama mwanaume hana mamchango hata kumi, halafu mwanaume anajidai ana mamlaka jùu yako hivi hiyo ni haki au ni unyanyasaji.
Hayo ndio maisha mdogo wbngu anaishi inaniuma mume wake ni mlevi wa kupindukia hela zake ni kwenye bia na kitimoto anapenda kula kama nini hayawahi kumnulia mkewe wala watoto wake chochote zaidi ya kujidai yeye ni bac inauma jamani kweli yaani mwanao hadi anaingiza 10 hujawahi mnunulia chochote jamani ina kera mkeanakusia unakubali.
Tpuuuuuuu namalizia kwakuwatema mate minaume ya sampuli hiyo. Haa aa hata mabinti wanaume wananafuu kwanza kwa mwenyezi mungu hiyo dhambi, unaishi kwenye nyumba ya mkeo baeo anakulisha na kukuzvisha mtumzhma nakazi unafanya? Lol aibu jamani wanaume msiwatendee hivyo wake zentu.
0