Uchaguzi 2020 Inauma sana, nasikiliza matokeo hapa nahisi kama roho inataka kutoka

Uchaguzi 2020 Inauma sana, nasikiliza matokeo hapa nahisi kama roho inataka kutoka

Kesiman9

Senior Member
Joined
Jun 23, 2016
Posts
119
Reaction score
161
Yaani nasikiliza matokeo hapa nahisi kama roho inataka kutoka.

Chama chochote cha upinzani kupata hata kiti kimoja bungeni ni ndoto labda iwe kwa kuridhisha tu wanananchi kuwa kuna demokrasia😡😡😡

Tuendelee tu kukamilisha ratiba.
 
Yaani nasikiliza matokeo hapa nahisi kama roho inataka kutoka.

Chama chochote cha upinzani kupata hata kiti kimoja bungeni ni ndoto labda iwe kwa kuridhisha tu wanananchi kuwa kuna demokrasia😡😡😡

Tuendelee tu kukamilisha ratiba
Baada ya hapo Magufuli atatangazwa na Bunge kuongezewa kutawala hadi achoke!

Wana CCM wataandamana nchi nzima kuwa kwa kuwa upinzani umekufa wacha aendelee
 
Hawana pema hao jamaa kama mbwai mbwai potelea mbali. Upinzani gani haueleweki lipi wanasimamia
Ni watu wenye tamaa mnoo.Walishindwa hata kujifunza kilicho tokea kwenye uchaguzi wa serikali ya mitaa mwaka Jana..pia Nature ya Rais aliyepo ni tofauti mnoo na Kikwete ambaye angalau aliweka mazingira mazuri upande wa ubunge kushinda kihalali.
 
Back
Top Bottom