Inauma sana, wezi walaaniwe. Wamenirudisha nyuma sana

Duuh ngumu sana kuwasamehe hawa watu ukiwa umeshawahi kupigwa tukio

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Biashara kichaa hizi, acha kumzamisha mwenzako mazima Dada, Biashara ta kuku ni Capital intensive kama unataka kutoka ba oia lazima uwe na kuku wakueleweka kuku 30 ni kuku wa kula tu hakuna kitu hapo.

Kwenye kuku ili uone faida unapaswa kuwa na Project kubwa sana na pia kumbuka kuku ni Capital intensive lazima uwe na pesa ndo ufuge kuku.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana mkuu wangu. Nakuombea quick recovery katika attempts zako ndugu. Hakika kuna haja ya kuwa aware sasa na swala la wezi pale tunapotaka kufanya venture yeyote ile ili kufanya initiation za kujikinga nao.

Kujisahau sometimes kunachangia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
motivation speakers wanalaghai sana watu,matunzo ya hao kuku,wanakula balaa,na hawali pumba,unaanza na starter ambayo 2014 mfuko 50k+,baada ya wiki kadhaa ununue mifuko ya finisher,hapo bado gharama ya dawa,chanjo nk!!usubiri wakue almost 3-5 weeks ndo uuze,hapa kati utakula nini wewe?kuna bills za kulipa utatoa wapi pesa za kuendesha maisha yako??

Biashara ya ufugaji wa kuku hasa hizi broilers,inahitaji msingi haswa,na si ya kuitegemea sana,yani uwe na sehemu nyingine ya kupata kipato,hii ni ya ziada tu maana inahitaji muda sana mpaka uanze kuona faida hasa!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umebana sana taarifa muhim. Hata kama angepatikana mtu wa kutaka kukusaidia/ kushirikiana na wewe hatajua aanzie wapi. Kuna mambo ya msingi ungetakiwa kuweka hapa:- Aina ya biashara, mtaji unaohitajika, faida, namna utakavyorejesha, nk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…