Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Still a kid.Kua uya-look!Habari wana JF
Unakuta umepiga usafi heavy gheto, umepika misosi ya kibabe, umejaza vitu kwenye jokofu, umetandika shuka jipya, umevaa boksa ya maangamizi, umepiga pasi nguo kwa dobi, umelipia king’amuzi full package, umenyoa vuziii umepiga kipara,.....................hivi vitu gani vingine huwa tunafanya kujiandaa na show vile
Likikuta jambo kama hili huwa unafanya nini? Utachukua maamuzi gani, utampotezea au utaendelea kumfukuzia mpaka ujenge heshima. .
Unajaza mazaga zaga asikuone mnyonge, gheto likipendez unakula pointsMkuu we nae wa hovyo saana,, halafu bado mgeni kwenye swala la mgegedo..
Demu akija ghetto wala hata usihangaike kufanya hayo yote,,....Kuwa katika normal Lifestyle ya kila siku tu..
Otherwise utaumia sana