THE FIRST BORN
JF-Expert Member
- Apr 24, 2019
- 2,516
- 5,463
Duh.... mbona una chuki kali kijana?Nashindwa kuwaelewa kabisa hivi vyombo vyetu vya ulinzi na Usalama viko wapi?
Mtu anahamasisha watu wapiganie Katiba huu ni ugaidi na Uhaini wa wazi kabisa...Anataka kuiondoa serikali Tukufu iloyochaguliwa kwa Asilimia kubwa 98%
Vyombo vya ulinzi vipo tu vinamuangalia huyu Mtu
IGP, Mkuu wa Majeshi Na Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa mpo tu mnazurula.
Aya sawa Mwaipopo mzee wa kutairi watu bika ganzi nawe upo tu na jeshi lako.
Yule mzee wangu mwandambo hujatoa neno hadi mda huu mnataka Watu wachome Nchi ndio mshituke?
Mkamateni Mapema huyu Mhaini na Gaidi Nchimbi.
DJ Naomba Kibao cha Finale ya Alikiba na Bien..
Halaf pale inapoanza na Repete🎶 Repete🎶
Parudie hata Mara 10
Kabsa ila leo mtu Gaidi na anapewa Bodyguard kwelii?Angekuwa Chaso,Chadema au Mhadhiri charge sheet zingekuwa tayari na gerezani kaswekwa
InasikitishaGaidi anapigiwa saluti
Msome upya umuelewe. Hii ni SATIREDuh.... mbona una chuki kali kijana?
Soma mada upya na uielewe hapa ukienda kichwakichwa utatoka kapaWataka hiyo nafasi
Mbona yule wa UDOM wamemtambua na kumkamata!Polisi Hawa waliofeli shule watamjuaje gaidi?
Au sio😂Nashindwa kuwaelewa kabisa hivi vyombo vyetu vya ulinzi na Usalama viko wapi?
Mtu anahamasisha watu wapiganie Katiba huu ni ugaidi na Uhaini wa wazi kabisa...Anataka kuiondoa serikali Tukufu iloyochaguliwa kwa Asilimia kubwa 98%
Vyombo vya ulinzi vipo tu vinamuangalia huyu Mtu
IGP, Mkuu wa Majeshi Na Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa mpo tu mnazurula.
Aya sawa Mwaipopo mzee wa kutairi watu bika ganzi nawe upo tu na jeshi lako.
Yule mzee wangu mwandambo hujatoa neno hadi mda huu mnataka Watu wachome Nchi ndio mshituke?
Mkamateni Mapema huyu Mhaini na Gaidi Nchimbi.
DJ Naomba Kibao cha Finale ya Alikiba na Bien..
Halaf pale inapoanza na Repete🎶 Repete🎶
Parudie hata Mara 10
Jiulize imewezekanaje!Mbona yule wa UDOM wamemtambua na kumkamata!