THE FIRST BORN
JF-Expert Member
- Apr 24, 2019
- 2,516
- 5,463
- Thread starter
- #21
Sawa Mzee wa busaraPunguza mihemko na drama zenu za kitoto hizi.
Sawa Mzee wa busaraPunguza mihemko na drama zenu za kitoto hizi.
😁😁😁Polisi Hawa waliofeli shule watamjuaje gaidi?
Hawa wanachojua ni wizi wa kura Ili ccm itangazwe mshindi tu
Mtu ana ajiriwa kwa sifa ya urefu na mbia Karne hii
Oyaah..huu uzi uneuleta ukiwa na akili zako timamu ama ni baada ya kulamba kilambo? MATAKO YAKO "IN SUGU STYLE"Nashindwa kuwaelewa kabisa hivi vyombo vyetu vya ulinzi na Usalama viko wapi?
Mtu anahamasisha watu wapiganie Katiba huu ni ugaidi na Uhaini wa wazi kabisa...Anataka kuiondoa serikali Tukufu iloyochaguliwa kwa Asilimia kubwa 98%
Vyombo vya ulinzi vipo tu vinamuangalia huyu Mtu
IGP, Mkuu wa Majeshi Na Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa mpo tu mnazurula.
Aya sawa Mwaipopo mzee wa kutairi watu bika ganzi nawe upo tu na jeshi lako.
Yule mzee wangu mwandambo hujatoa neno hadi mda huu mnataka Watu wachome Nchi ndio mshituke?
Mkamateni Mapema huyu Mhaini na Gaidi Nchimbi.
DJ Naomba Kibao cha Finale ya Alikiba na Bien..
Halaf pale inapoanza na Repete🎶 Repete🎶
Parudie hata Mara 10
Wanafanya Double standard za kijinga😂Double standard 😁
Ubwege SanaWanafanya Double standard za kijinga😂
Kumtambua siyo issue. Kwani hata mbowe freeman alitambuliwa akatoka na kwenda ikulu Moja kwa Moja?Mbona yule wa UDOM wamemtambua na kumkamata!
Tafsiri wanatoa wenyewe inavyowapendeza.Kumtambua siyo issue. Kwani hata mbowe freeman alitambuliwa akatoka na kwenda ikulu Moja kwa Moja?
Tatizo siyo Ugaidi tatizo ni tafsir ya neno gaidi..... Gaidi anaongelea na kupanga mipango kwenye kadamnasi??
Hivi,hao polisi kusaidia wizi wa kura na kuwasaidia CCM,huwa wanafaidika nini?Polisi Hawa waliofeli shule watamjuaje gaidi?
Hawa wanachojua ni wizi wa kura Ili ccm itangazwe mshindi tu
Mtu ana ajiriwa kwa sifa ya urefu na mbia Karne hii
🤣🤣....!!Duh.... mbona una chuki kali kijana?
Hawafaidiki na chochote. Wangekuwa wanafaidika wasinge chua rushwa za 2000 kwa madreva na makonda wa daladalaHivi,hao polisi kusaidia wizi wa kura na kuwasaidia CCM,huwa wanafaidika nini?