Inaumiza sana Gaidi na Mhaini Nchimbi yupo Uraiani na Hai hadi mda huu.

Oyaah..huu uzi uneuleta ukiwa na akili zako timamu ama ni baada ya kulamba kilambo? MATAKO YAKO "IN SUGU STYLE"
 
Mbona yule wa UDOM wamemtambua na kumkamata!
Kumtambua siyo issue. Kwani hata mbowe freeman alitambuliwa akatoka na kwenda ikulu Moja kwa Moja?
Tatizo siyo Ugaidi tatizo ni tafsir ya neno gaidi..... Gaidi anaongelea na kupanga mipango kwenye kadamnasi??
Tuseme. Alikuwa anapanga huo ugaidi na hao wanafunzi??? Yaani wanataka wanafunzi wa chuo wafundishwe bila mifano inayoendelea kwenye nchi?
Baadae wakishindwa kuajirika mnawambia wakajiajir??
 
Kumtambua siyo issue. Kwani hata mbowe freeman alitambuliwa akatoka na kwenda ikulu Moja kwa Moja?
Tatizo siyo Ugaidi tatizo ni tafsir ya neno gaidi..... Gaidi anaongelea na kupanga mipango kwenye kadamnasi??
Tafsiri wanatoa wenyewe inavyowapendeza.
 
Na mm nashangaa chura aka kizimkazi yuko kitaa tu!! ICC mko wapi?
Kazi ni kipimo cha utu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…