FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
- Thread starter
-
- #41
waziri wa nishati anaupingamradihuu?
Hili crane nahisi halijaja mkuu. Maana Kuna wajuzi wengi wa Mambo humu, ingawa swali lako tangu mwaka jana naona unauliza na halijibiwi na wadau.Kwanza hilo crane linakuja lini?
Ni vyema tu wakasema ukweli, hilo crane wanakodi toka nchi gani, na kwanini wanakodi crane permanent?Hili crane nahisi halijaja mkuu. Maana Kuna wajuzi wengi wa Mambo humu, ingawa swali lako tangu mwaka jana naona unauliza na halijibiwi na wadau.
Mi nataka tu kujua, hilo crane la tani 26 wanalokodi, lipo wapi?!Mm nikupe hongera mkuu uzi wako kuwepo, mimi najua ukiazisha uzi juu ya january unafutwaga
Mama anapandisha watu madaraja kwa pesa za mkopoTrillion 10 ndani ya miezi 9 zilizokopwa, ni kiasi gani zimeenda kwenye miradi ya kimkakati kama hii?