Je, Wajua? Mara ya mwisho Bwawa la Mtera kufunguliwa ili kuruhusu maji yapungue ilikuwa 21/3/2020 na haikuwahi kufanyika hivyo toka mvua za El Nino mwaka 1997/98 Je, Wajua? Ujenzi wa bwawa la Mtera ulianza enzi za Nyerere, mwaka 1970 na lina ukubwa wa 'catchment' kilomita za mraba 68000 Je...